..naomba mnieleweshe engine za VVT-I | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..naomba mnieleweshe engine za VVT-I

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by fabinyo, Oct 7, 2012.

 1. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wasalaam wadau,najua jamvini humu kuna wataalamu wa kila jambo!kwa leo naomba kufahamu kwa kina juu ya engine za magari zenye teknolojia tajwa hapo juu,uzuri na ubaya wake na kama mafundi wetu(tz) wanaweza ku-deal nazo pindi inapopata shida!pia,ni kweli zinasaidia utumiaji wamafuta kuwa kidogo?nimejaribu ku-google ila kithungu hakipandi kabisa,asanteni!
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Lazima fundi awe amesoma kwa angalau cert ya ufundi, engine mpya zote ni electr/computer controlled....faults clearing need someone who can read manuals! Ni noma
   
 3. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kweli mwana!
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  VVT.I, D4, MIVEC, GDI na HYBRID engines are new generation designed to minimize envir pollution and optimize fuel consumption. Lazima usome manuals for troubleshooting. Hazihitaji ubabaishaji wala mazoea
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  tatizo manual zenyew imeandikwa kijapani...me nnayo D-4 manually yake ipo kijapani tu so inawapa shida sana mafundi kuihandle...
   
 6. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  VVTi ni Variable Valve Timing with intelligence! Ni aina za engine ambazo fuel consumption ni ndogo sana!kuhusu mafund wapo wengi tu!kati yake na D4,D4 ni more economy on fuel consumption bt tatizo la D4 ni mafuta ya kuchakachua!ukiweka tu missing lazima mfunge ndoa nayo!uliza kingine mkuu!
   
 7. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  VVT-i Saafi haZina Shida na Haziko Sensitive kama D4..inatumia Umeme Mwingi so kama Kuna Fault its easy ku-identify..hata Mafuta hainywi kama engine. Zingine Kama 3S au 1G

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  dah! ndo maana napambana na miss ki;a siku mkuu.....so what a way forwad kwa hilo la miss mkuu....dont ask me to sell it cos nalipenda sana gari yangu...
   
 9. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Zipo pia service manual za kiingeleza.Pia zipo Unversal diagnostic kits ambazo zinaweza kusaidia kuzirepear na kuziprogram.Engine za VVTi ndizo zinazotumika ata USA na UK.So service manual zinatolewa kwa lugha ya nchi ambayo gari litakuwa limeuzwa kama jipya na sio mitumba kama hapa kwetu.
   
 10. Jerome

  Jerome Senior Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  V V T-I ni Variable Valve Timming,kwa engine ya cylinder 6 ina valve 24 yaani inlet 12 na exhaust valves 12.Katika inlet manifold kuna censor ambayo ni controlled na throtle au engine depression na wamelink na engine controlls.Iwapo gari inatembea katika speed chini ya 60kmh to 80kmh valve 12 yaani 6 za inlet na 6 za exhaust hujifunga na kubaki valve 12 tu zinafanya kazi yaani 6 inlet na 6 exhaust.Speed ya gari ikizidi 60 au 80kmh(inategemea setting) valve zingine 12 zinafungua na kufanya valve 24 zote zifanye kazi hivo engine perfomance inaongezeka na fuel consuption inapungua.Ndiyo maana kwa gari kama GX-100 kutembelea hapa mjini ktk foleni na speed ndogo utalalamika inakula mafuta sana tofauti ukiingia safari ndefu ndiyo utaona raha yake zile down za chalinze mpaka segera unapanda na 120kmh bila gari kupungua nguvu.Kifupi hizi ni gari za masafa siyo za kutanulia mjini.Kuhusu technologia wapo vijana wanatengeneza sana,hapa Dar nenda Mivinjeni Garage ya Mabenzi kwa kijazi vijana wapo.Kama kuna ishu complicated wanaingia ktk computer.Siku hizi manual zipo ndani ya mtandao ukilog-in aina sahihi ya engine na taarifa sahihi unapata kila kitu hata majibu ya trouble shooting.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Gari yako ni model gani?
   
 12. P

  Penguine JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Jerome,
  U hv proved me that JF is the home of great thinkers. Thnk u for this useful post.

   
 13. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  its not a big issue mkuu kama umegundua mapema, what to do, use petrol treatment kila unavoweka mafuta, je unazifahamu?fika kwenye maduka ya vifaa vya magari maeneo ya makumbusho ulizia petrol treatment utapewa, also its available at game mliman city. bt nzuri ni zile za kule makumbusho. kama tatizo litaendelea then u need to clean fuel system, starting with fuel pump+filter, clean nozzles and Valves. lazma tatizo litaisha mkuu.
  wala usikimbilie kuuza, fanya niliyokuambia n trust me miss zote zinaisha. petrol treatment ni sh 5,000-8,000. ku-clean nozzles Valves and fuel system itakucost from 20,000 - 40,000 max 50,000 tena hapo kwa mafundi experienced.
  any question mkuu.
   
 14. T

  The Priest JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimekubali hii shule!
  Jf ndo habari ya mjini..
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo D4 hazitaki wese la kidebe?
   
 16. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  Sio kweli.
  Kirefu cha VVT-i ni Variable Valve Timing, with Intelligence. Jerome kafafanua vizuri sana ufanyaji kazi wa injini hizi, sina haja ya kujazia zaidi. Injini hizi zimetengenezwa maalum kupunguza matumizi ya mafuta, hivyo kulinda mazingira dhidi kwa kupunguza kiasi cha moshi.
   
 17. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [video=youtube_share;eO55XgK5NcU]http://youtu.be/eO55XgK5NcU[/video]
   
 18. Kamanda Moshi

  Kamanda Moshi JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,419
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  thanx for correction mkuu, i support the definition.
   
 19. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  pamoja sana mkuu...ntafanyia kazi though nipo arusha kaka..
   
 20. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yes. Jf ni shule tosha.
   
Loading...