Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 586
- 920
Non caloric foods ni zipi!?Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama? Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon. But, why did you come to 104 in the first place? Sifa au? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods. Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
Kwa sasa natamani kuongeza muda niwe nafanya mazoezi dakika 90 hadi 120, kama nikifika 85Kg ndio nishushe muda up to 30 minutesKilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama!??? Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon. But, why did you come to 104 in the first place!??? Sifa au!??? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods. Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
Usifanye hivyo Mkuu utaulazimisha moyo kusukima damu kwa kiwango kisicho sahihi.Kwa sasa natamani kuongeza muda niwe nafanya mazoezi dakika 90 hadi 120, kama nikifika 85Kg ndio nishushe muda up to 30 minutes
Kwanza kabisa huwezi kula matunda jioni. Matunda yanaliwa wakati Asubuhi kabla hujala kitu tumboni. Pili punguza kula vyakula vya mafuta na acha kabisa kula nyama ya aina yoyote ile. Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunywa maji ya uvuguvugu glasi 3 glasi moja kamulia limao usitie sukari wala asali. Ukitaka kupunguwa kwa haraka nitafute kwa wakati wako ili nikupe dawa ya kupunguwa haraka mwili wako una kilo nyingi sana unaweza kupatwa na maradhi ya Presha na kisukari jihadhari sana.Habari zenu, mimi ni mrefu wa sentimeta 183, awali nilipima nikawa na kg 104. Uzito huo ulinitisha nikaamua kuanza mazoezi na kubadili life style. Nimeacha kutumia soda, maana hapo kabla kila siku nilikuwa Lazima ninywe soda/grandmalta, pia nimepunguza kiasi cha ulaji. Jioni huwa nakula matunda tu!
Kila wiki lazima nikimbie mara nne au mara tano ambapo kwa siku nakimbia kilomita 8 hadi kumi! Nimefanya hivyo kwa mwezi mmoja lakn nimepunguza kilo tatu na nusu tu!
Nifanyeje niweze kupungua kwa haraka zaidi?
Nashukuru mkuu umeniongezea kitu, sitaki kutumia dawa, nahitaji nipungue kwa mazoezi tu, nitatumia warm water with lemon, kila asubuhi!Kwanza kabisa huwezi kula matunda jioni. Matunda yanaliwa wakati Asubuhi kabla hujala kitu tumboni. pili punguza kula vyakula vya mafuta na acha kabisa kula nyama ya aina yoyote ile. Asubuhi unapo amka kabla ya kula kitu kunyw amaji ya uvuguvugu glasi 3 glasi moja kamulia limao usitie sukari wala asali. Ukitaka kupunguwa kwa haraka nitafute kwa wakati wako ili nikupe dawa ya kupunguwa haraka mwili wako una kilo nyingi sana unawezakupatwa na maradhi ya Presha jihadhari sana.
Je asubuhi unakula nnKilo 3 kwa mwezi ni nyingi sana,
Nilikua na 105kg November, nikapiga zoezi mwezi mzima nakata 1kg,
Ilipofika January nikawa nakula matunda jioni,mchna nakula ukubwa WA ngumi ,niliginga 80kg wife anasema nnatisha,
Nimezipandisha kidgo 85kg
Non calorific foods?Kilomita 8 ni kutafuta kujiua bure --- are you preparing for Marathon, ama?
Unachohitaji tu ni brisk walking kwa dakiukawa nka 20-30 daily, na CHANGE OF LIFESTYLE, especially the food you eat, then ^killer-key-2^ kitakuwa sawa soon.
But, why did you come to 104 in the first place!? Sifa au!? Anyways, usikate tamaa. Punguza junk foods.
Unaweza kula a lot of non-caloric foods na mwili wako ukaw
I hope humwambii asile kabisa.Unakula sana.
Mimi nilitoka 128 mpaka 88 ndani ya miezi sita
Acha kula
I mean it. Asile kabisa.I hope humwambii asile kabisa.
Labda umwambie ale calories in deficit.
I am very interested in your meal plan. Share it.
Mkuu..heb nidadavulie hapa...mfano mtu ndo umeanza zoez huna muda mref...ukifanya heavy routine ya zoez ni nzur au si nzur kwa afya ya moyo wako?Usifanye hivyo Mkuu utaulazimisha moyo kusukima damu kwa kiwango kisicho sahihi.
Fanya hivi Amka alfajiri saa 11.30kunywa maji glass 2 Kisha BAADA ya DK 10 Anza zoezi la Kutembea haraka haraka kwa muda wa dk 30.ukirudi home baada ya kukoga kunywa juisi ya giligilani ya majani glass 1.
Fanya hivyo kwa wiki 3 Kisha leta mrejesho . Vinginevyo tukupe dawa mbadala Ni mwezi 1 TU mafuta na minyama yooote kwisha ila ujiandae kupunguza NGUO zako
Asubuhi napiga ndizi mchemsho za samaki au na mboga mboga , punguza wanga na bia bia utapungua mpka uogopeJe asubuhi unakula nn
Intermittent fasting uki combine na Keto halafu usijue mpangilio wa vyakula atachoka mno.I mean it. Asile kabisa.
Mimi nilikuwa nakula once a mininum of 48 hours and typically once every 72 hours. Nikikaa sawa napiga 100+ hour fasts.
Muda wa kula nilikuwa nakula kweli kweli but ketogenic foods - fats & protein only, no carbs.
Total caloric restriction is easier than trying for a caloric deficit balance