Mashoo Mashoo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 105
Zaa ulee mwanao. Huyo jamaa yako anaeza akaeleweka baadae akishapata anachokitafuta na kuona hamna jipya, pia unaweza ukapata mme mwingine ambaye anaeleweka mkaishi vizuri tu.
Ila mimba usitoe, utapata faraja ya ajabu kupitia mwanao ukishajifungua.
Ila mimba usitoe, utapata faraja ya ajabu kupitia mwanao ukishajifungua.