Halafu anapanua kavukavuuliyataka mwenyewe kwann na wewe umpanulie mtu hana msimamo na wewe
Sio kila anayekuja kulalamka humu na kuomba ushauri ni mtakatifu. Kuna wengine wanakuwa wameyakoroga huko ila wanakuja tu huku kutafuta huruma za watu. Naanza kuhisi labda "labda" huyo jamaa ana sababu za msingi tu kuchukua uamuzi huo anaouchukua. Labda dada utueleze sababu za huyo jamaa kutokukujali. Je hali hiyo ilianza ghafla tu? Au ilianza mara baada ya kukugegeda? Je hakuna ovu lolote ulilomfanyia? ulichukua jitihada gani kuweza kumrudisha kwenye mstari? Je unampenda kwa dhati kabisa? Endapo ukitoa hiyo mimba nafsi itakuwa na amani? Ukitoa hiyo mimba utakuwa umemkomoa nani kati ya wewe mwenyewe, mtoto na huyo jamaa.....
Halafu anapanua kavukavu
Chiz mwenyewe
Hutakiwi kulia lia humu wakati unajua athari za kupanua kavukavu. We ulitegemea nini kukigawa kavukavu??Ulitaka nivae mfuko??
Hahaha ndio maana aliyekutia mimba hakusomi. Mwezi mchanga
Birds of the same feather.....
Wewe na jamaa yako mnaoneka mna akili sawa kabisa. Lea tu mimba ila na mashaka na hiyo product kama "wewe unajielewa" una akili fyatu namna hii huyo "asijielewa" sijua atakuwa.
Siku nyingne ujifunze kukaa mguu sawa. Sio kila muda mguu pande
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Kwa majibu yako,mleta mada ,,,,,,,,network searching,,,,,,,,,,,,,,,,,,, dish limeyumba ,,,,,,,,,,,,,,
Hutakiwi kulia lia humu wakati unajua athari za kupanua kavukavu. We ulitegemea nini kukigawa kavukavu??
Jack usfny mstake ambyo you won't forget forever as long uwezo wa kumlea mtto unao do it for luv.kma jmaa anlta mapcpcha tmana nae
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nikikwambia unadandia tren kwa mbele naonekana sio kuna sehem nimeandika jamaa hanijal?? Hayo maswal uliyouliza umeyatoa wap?? Acha kufikiria kwa kutumia makalio..
"""""""Si ajabu ukawa na tabia za umbea-umbea..["""""""""/QUOTE]
Aisee basi sawa