Naomba mawazo yako yanisaidie

Naomba mawazo yako yanisaidie

Hujashikiwa sime unishaur, usije ukajiona cake sana au ushaur wako ukauona ni suluhisho la tatizo langu..

Ushaur wako si lolote si chochote kwangu..
Chukua time

"Naomba mawazo yako yanisaidie" hivyo ndivyo heading ya thread yako inavyosomeka lakini kwa maelezo yako hapo juu ni vyema ukabadilisha heading hiyo.
 
Ww malaika hutend dhambi??


Kila mtu anatenda dhambi lakini kuna kuungama na kutoa malipizi kwenye hizo dhambi na cyo kuxema nataka nimue huyu mtu, hiyo ni dhambi ya kukusudia,
NB: kisheria ni criminal cases (criminal against people)
 
kutoka kwenye coment za watu wanatoa ushauri una kuwa mkali ungekuwa hutaki kushauriwa usingekuja kuomba ushauri una kuwa mkali kama pili pili kichaa kuna aliye kutuma jiangalie mienendo yako kiukweli kimtokacho mtu ndicho kimjazacho moyo ndo mana hata mwanaume ana kukimbia jirekebishe
 
Kwan yy ni wa kwanza kunishaur, walionishaur wengine kuna nililosema?..
Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaid yake

Rudia kusoma majibu yako kwa watu wote utagundua jinsi hiyo kauli yako inavyopingana na uhalisia
 
kutoka kwenye coment za watu wanatoa ushauri una kuwa mkali ungekuwa hutaki kushauriwa usingekuja kuomba ushauri una kuwa mkali kama pili pili kichaa kuna aliye kutuma jiangalie mienendo yako kiukweli kimtokacho mtu ndicho kimjazacho moyo ndo mana hata mwanaume ana kukimbia jirekebishe

Mkuu ulisoma yalipoanzia au umeona muendelezo wa mazungumzo ndipo ulipodakia??
 
Rudia kusoma majibu yako kwa watu wote utagundua jinsi hiyo kauli yako inavyopingana na uhalisia

Ndugu mtu anapokuwa na tatizo anahitaj suluhisho na si kejel ulizoleta, sipend kejel ndio maana nimekujibu inavyotakiwa..
 
Oooooh! Pole xana dada kulingana na elimu nilo nayo kwa kuwaza 2 mimba inaweza toka xo ondoa mawazo kabixa lilux matatiz hakuumbiwa mdudu bl binadam xo usitoe kbxaaa
 
tangia mwanzo kuna sehemu ulivo jibu aisee hata kama watu kushauri watakuona we ndo una makosa hafu mwenyewe jitazame una weza ukawa na shda hafu inaonyesha kitu kidogo unakuwa mkali
 
Kila mtu anatenda dhambi lakini kuna kuungama na kutoa malipizi kwenye hizo dhambi na cyo kuxema nataka nimue huyu mtu, hiyo ni dhambi ya kukusudia,
NB: kisheria ni criminal cases (criminal against people)

Mmh!! Hatar sana..
Na ni vp ningesema nataka kujiua kutokana na tatizo hili??
 
kama uwezo unao wa kulea mtoto lea ucangarie mwanaume yupoje kwani wakati mpo ktk mahusiano hukusoma nyakati?? maisha ya sasa cio ya kumuangali mwanaume km atakuoa au vp
 
Sio kila anayekuja kulalamka humu na kuomba ushauri ni mtakatifu. Kuna wengine wanakuwa wameyakoroga huko ila wanakuja tu huku kutafuta huruma za watu. Naanza kuhisi labda "labda" huyo jamaa ana sababu za msingi tu kuchukua uamuzi huo anaouchukua. Labda dada utueleze sababu za huyo jamaa kutokukujali. Je hali hiyo ilianza ghafla tu? Au ilianza mara baada ya kukugegeda? Je hakuna ovu lolote ulilomfanyia? ulichukua jitihada gani kuweza kumrudisha kwenye mstari? Je unampenda kwa dhati kabisa? Endapo ukitoa hiyo mimba nafsi itakuwa na amani? Ukitoa hiyo mimba utakuwa umemkomoa nani kati ya wewe mwenyewe, mtoto na huyo jamaa.....
 
Habari wakuu!!

Naona mwaka huu unataka kuwa wa majanga kwangu

Nimepata ujauzito ila mwanaume mwenyewe simsomi mahusiano yetu yapo yapo tu ilimrad..

Hapa nilipo nawaza mpk kichwa kinataka kupasuka, nawaza sijui niutoe lakin sijui pa kuanzia sijawah kutoa mimba

Nikisema nizae, mtu mwenyewe simsomi tupotupo tu

Kiumri nina miaka 27 simtegemei mtu na hata mtoto naweza kumlea mwenyewe..

Ila hofu yangu tu ni aina ya mahusiano tuliyonayo ndio inayonipa shida..

Naomba mawazo yako tafadhal

miaka 27 utoe ujauzito kisa mahusiano hayaeleweki? Kwani mtoto unamzalia mwanaume au ni wenu nyote? Na hata kama baba asipokuwepo na una uwezo wa kumlea sasa nini kinakushinda hapo?
 
Mwenyewe unasema una uwezo wa kumlea mwenyeww bila kampani sasa hayo mawazo ya kuabort yanatoka wapi?

na kama hajawai kuabort kwanini awaze ivo na wakati uwezo wa kulea anao!?
 
Lea ujauzito tu ndugu huyo jamaa kama hasomeki we piga chini.
Kuabort kuna mambo mengi pia imani zote zinapinga hilo swala.
BTW pole sana.

Akipiga chini uyo mwanamme kwenye cheti cha kuzaliwa mtoto jina la baba aandikeje? Mshauri na hilo, maana watoto huwa wakiona deile mama ndo kila kitu huanza kusumbua “mama...baba yuko wapi na atarudi lini?”

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom