Una umri gani? Mbona ulichokiandika kinafanana na fikra za binti wa kidato cha pili? Unataka kusema hiyo mimba iliingia kwa bahati mbaya? Kama ni hivyo basi hustahili kuwa na huo umri uliotutajia. Unasema una uwezo wa kumlea mtoto ajaye peke yako halafu unasema unataka kuitoa mimba, mbona hueleweki? Sasa unataka tukushauri nini? Kama unaweza kumlea mtoto peke yako hayo mawazo ya kutoa mimba yanatokea wapi? Unasema humuelewi huyo mchumba wako, sawa ila hilo ni tatizo lako la uvivu wa kuchagua, mtoto wa tumboni mwako haimuhusu sasa kwanini umuue? Ndiyo huo ni uuaji. Kwa umri wako unatambua lipi jema na lipi baya fanya vyovyote unavyotaka hata nikikuambia usitoe neno langu si sheria.
Ameomba ushauri..... Ina maana pamoja na umri, uwezo alio nao still kashindwa kulitatua tatizo lake. Sasa wewe cha kufanya mshauri. Unaweza kua na umri mkubwa bt sio sababu ya kuweza kuyatatua matatizo yote yakikukumba.
Okay ngoja nimshauri...
Hakuna majaribio katika maisha kwani kila unachokifanya kinatengeneza historia ya maisha yako. Usiichafue historia yako kwa kutoa mimba kwani tendo hilo halitokuacha salama kisaikolojia. Labda ulifanya kosa kuingia kwenye mahusiano na mwanaume huyo asiye na busara lakini tambua daima huwa kuna nafasi ya kurekebisha pale tulipokosea na sio kuyatumia makosa ya mwanzo kufanya makosa mapya. Kutoa mimba ni dhambi usfanye hivyo. Umesema una uwezo wa kulea, ndio siku zote Mungu huwa hatupi mitihani bila kutupa njia za kuikabili mitihani hiyo. Jamaa haeleweki ila uwezo kulea mwenyewe unao basi fanya hivyo hiyo ndio njia aliyokupa Mungu. Kesho yako itakuwa bora kwa kuiishi vyema leo, usiiharibu kesho yako ndugu yangu.

Hujashikiwa sime unishaur, usije ukajiona cake sana au ushaur wako ukauona ni suluhisho la tatizo langu..
Ushaur wako si lolote si chochote kwangu..
Chukua time
tatizo lako umekuwa na kiherehere cha kuandika kabla husoma vizur na kuelewa..
Rudia kusoma vizur ndio utoe ushaur acha kudandia tren kwa mbele
Tatizo lako umekuwa na kiherehere cha kuandika kabla husoma vizur na kuelewa..
Rudia kusoma vizur ndio utoe ushaur acha kudandia tren kwa mbele
Hyo mimba uliyonayo ndio imekufanya uwe chizi?
Sasa na wewe unavuka mipaka. Kuleta hapa ni kutaka ushauriwe na watu wote uku kila mtu akitoa ushauri kutokana na upeo wake. Unaweza kutulia ushauriwe ....
Chiz mwenyewe
mmmh! Ndugu mbona siyo mstaarabu? Unaelewa unachoambiwa ??
Kwan yy ni wa kwanza kunishaur, walionishaur wengine kuna nililosema?..
Dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaid yake
Nimependa hiyo dada, na dawa ya mzinzi ni kupigwa mimba au cyo
Nimependa hiyo dada, na dawa ya mzinzi ni kupigwa mimba au cyo