Naomba majibu ya maswali haya

Naomba majibu ya maswali haya

Awamu hii hawajaminya uhuru wa vyombo vya habari....kama unabisha mtafute Azory umuulize.
 
(1) Kwa nini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii?

(2) Kwa nini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii?

(3) Kwa nini uzembe na kutojali katika kazi za umma umeshamiri sana katika awamu hii?

Karibuni kwa majibu.

Mama amewafuta machozi hao wote unaowataja hapo na sasa machozi yamehamia kwa wananchi.

Hakuna msaada
Hakuna wa kuwasikiliza
Makundi maalumu yanatumika kisiasa......

Mungu ataamua
Kwa sababu sasa vinasemwa na rais kaachia watu waxungumze na wajadili kwa uwazi report ya mkaguzi mkuu lakini wakati wa jiwe hakurusu hayo ilikuwa ni ulaji tu yeye na kundi lake professor Assad alipohoji akafukuzwa kazi
 
(1) Kwa nini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii?

(2) Kwa nini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii?

(3) Kwa nini uzembe na kutojali katika kazi za umma umeshamiri sana katika awamu hii?

Karibuni kwa majibu.
kwa msaada wa haraka! Hayo matendo yote yameanza tangu awamu ya tano! Na nyie watu msiopenda awam ya sita ndo mmepata ga la kumsimanga MH SSH. ila jiwe nae alikuwa Alikuwa mwana mtandao tu.Embu muangalie makonda wa sasa na yule wa kipind cha jiwe' kile kishuz kwisha kabisa' na ile vita alianzisha kwa mising ya wivu tu! kuna yule alienda madagasca kuleta dawa ya korona. Vp hali yake waijua? Chozi la ole 7ya
 
Kwa sababu sasa vinasemwa na rais kaachia watu waxungumze na wajadili kwa uwazi report ya mkaguzi mkuu lakini wakati wa jiwe hakurusu hayo ilikuwa ni ulaji tu yeye na kundi lake professor Assad alipohoji akafukuzwa kazi
Mama hajaachia uhuru wowote.

Anatufanyia timinng tujitokeze na kutumia majina yetu halisi ili pangusa pangusa ipite.

Uhuru wa maoni Tanzania ni igizo bado
 
(1) Kwa nini vitendo vya ushoga vimeshamiri sana katika awamu hii?

(2) Kwa nini vitendo vya rushwa, wizi, ufisadi, ubadhirifu, uporaji nk. vimeshamiri sana katika awamu hii?

(3) Kwa nini uzembe na kutojali katika kazi za umma umeshamiri sana katika awamu hii?

Karibuni kwa majibu.
Uhuru wa kupashana habari na wa vyombo vya habari, pia na uhuru wa watu kutoa maoni uliminywa sana awamu iliyopita, ndiyo maana vitendo hivi vya ukiukwaji mkubwa wa maadili havjkuwa vikiripotiwa.

Vitendo hivi vinaripotiwa sana kwa sasa na kuonekana vimetamalaki kutokana na ongezeko kubwa la watu, matumizi ya madawa ya kulevya, ukosefu wa ajira kwa vijana, kuiga tamaduni na ustaarabu wa kimagharibi, kuishi maisha ya kipagani na kutokuwa na hofu ya uwepo wa Mungu na mamlaka yake kuu ya kiroho, tamaa mbaya kimwili, ushirikina, na nyingine zenye kufanana hizo.
 
Back
Top Bottom