KWA maelezo ya wadau hapo juu hasa kuhusu mfumo imara, kwa lugha nyepesi naomba nitoe mfano huu. Gari aina ya IST inamfumo ambao hautabadilika kwa dereva yoyote yule atakayeshika usukani kuongoza safari, mwendo utategemeana na ujuzi wa dereva katika kucheza na usukani sambamba na kukanyaga mafuta. Kutokana na hilo inakuwa rahisi kumpima dereva anayetuwahisha au anayetuchelewesha katika safari. Hivyo katika kuchagua mfumo pia kwa mfano huu umakini unahitajika vipi tukichagua mfumo wa IST badala ya FERRARI.? Kwa maana rahisi hata tukawa na mfumo bora bado hatua zetu zitamtegemea dereva wetu kufikia nchi ya ahadi.
Lazima kuamini kwenye sheria na sio kuamini kwenye watu, watu wanapita sheria zinazoongoza institutions hazipiti, sijui unapata shida gani kuelewa hili?Yaani nyie mnatoa mifano mizuri kabisa inayojenga hoja ya kwamba watu bora husaidia mifumo. Sasa unapotumia mfano wa 4-4-2 kwenye mpira wote tunafahamu kwamba ili huo mfumo ufanye kazi unahitaji wachezaji bora wenye talanta zao. Makocha hao hao husajiliwa na kutimuliwa mara kwa mara maana wenye timu zao hawaamini katika mifumo wanaamini katika kocha sahihi...
Nikushangae wewe usiyeona umuhimu wa mtu sahihi katika taasisi, nchi au hata dunia. Kipi katika historia ya binadamu kilianza, mtu au mifumo? Hata kwenye vitabu vya dini tunaambiwa Mungu aliumba mtu baadaye akamwekea sheria, sheria aliyokuja kuivunja baadaye, na inasemekana ndiyo maana tunakufa. Si kwamba mifumo si kitu au haifai, ila mifumo inategemea sana watu.Lazima kuamini kwenye sheria na sio kuamini kwenye watu, watu wanapita sheria zimazoongoza institutions hazipiti, sijui unapata shida gani kuelewa hili?...
Rais wa awamu ya NNE Mhe.Jakaya Kikwete alitambua umuhimu wa kujenga misingi imara ya kiutawala kwa maslahi mapana ya nchi, akaanzisha mchakato wa katiba mpya ambayo ndiyo sheria mama ambayo ingejenga misingi imara ya kitaasisi.Yaani nyie mnatoa mifano mizuri kabisa inayojenga hoja ya kwamba watu bora husaidia mifumo. Sasa unapotumia mfano wa 4-4-2 kwenye mpira wote tunafahamu kwamba ili huo mfumo ufanye kazi unahitaji wachezaji bora wenye talanta zao...
Jamaa mgumu sana kuelewa, labda ataelewa kesho.Rais wa awamu ya NNE Mhe.Jakaya Kikwete alitambua umuhimu wa kujenga misingi imara ya kiutawala kwa maslahi mapana ya nchi, akaanzisha mchakato wa katiba mpya ambayo ndiyo sheria mama ambayo ingejenga misingi imara ya kitaasisi....
Ukitegemea busara za mtu nayo ni tatizo. Unadhani CAG Assad bila mfumo imara wa kumlinda angeweza kupona wakati wa Magufuli? Pamoja na hasira zake zote, Magufuli alisubiri mpaka mkataba ukaisha, akagoma ku-renew.Yaani nyie mnatoa mifano mizuri kabisa inayojenga hoja ya kwamba watu bora husaidia mifumo. Sasa unapotumia mfano wa 4-4-2 kwenye mpira wote tunafahamu kwamba ili huo mfumo ufanye kazi unahitaji wachezaji bora wenye talanta zao. Makocha hao hao husajiliwa na kutimuliwa mara kwa mara maana wenye timu zao hawaamini katika mifumo wanaamini katika kocha sahihi...
hakukua na haja ya kuniita mjinga kiongozi katika familia yako lakini. Mfano wangu ni mtambuka sana kiasi kwamba hata mimi najua sijaweka nyama za kutosha ili mwelevu Kama wewe unielewe. Ila jambo la msingi ni tumepigwa sana mpaka sasa tulitakiwa kuwa donor country. Nukuu hiyo ndiyo kuchelewa kwenyewe huko.Unafikiri kwa nini serikali zinachora mistari, na zinaweka vibao vya speed limit na Zebra barabarani?? Kwa sababu zinafahamu kuna watu wajinga kama wewe wanaoajali kuwahi tu kama ndilo jambo la msingi kwenye safari.
Hata hujui unachokitetea,contradictions kibao,anyway unamsemea Kakoko yupi huyo aliefanya vizuri bandari na huo uzuri gani alioufanya au kwa zile data za kupika bila kusahau ufisadi walioifanya wakishirikiana na mwendazake?Wafuasi wa hicho kitu kiitwacho "mfumo imara" ni wale watu wavivu na dhaifu kiutendaji. Wasioamini katika uongozi. Watu kaliba ya yule CAG mstaafu aliyezinduka juzi akasema angalau asilimia 60 ya watumishi wa umma hawana uwezo stahiki...
Yaani nyie Jiwe alivyokuwa anaipelekesha Nchi kama familia yake na kuifilisi kabisa ndio mnataka Strong leaders wa kariba yake?Kuna commenter mmoja hapo juu aliyejibu ( na nashawishika) kwamba huwezi kuwa na mfumo imara bila kuwa na watu imara, ila inawezekana kuwa na watu imara bila kuwa na mifumo imara. Hili si swali la kuku na yai kipi kilianza. Hili lipo wazi kabisa kwamba kiongozi imara anahitajika awepo kwanza ili kuwepo mfumo imara.
Eeh embu tuambie after Jiwe era nini kitafuata,au tumsubiri tena azaliwe Jiwe mwingine mwenye roho mbaya? Mfumo imara unatakiwa uongozwe na kusimamiwa na Katiba na Sheria zenye nguvu zisizompa favor au kumuonea haya mtu yeyote yule awe Rais, Waziri,Mwanajeshi.Nyerere alirithi nchi kutoka kwa mkoloni (mwingereza) ikiwa chini ya mifumo ya matabaka "caste" na "tribal" systems. Kulikuwepo tabaka la wazungu, wahindi na waarabu na wazawa weusi. Kazi ya kwanza ilihitaji kiongozi imara atakayevunja hayo matabaka na kuweka mfumo wake mwingine, na ndicho alichokifanya Nyerere..
Hao ni Mataga wanajua kila kitu ila ujinga na uzuzu wa kuamini katika Mtu ndio umewapofusha.Unajichanganya, huwezi kusema mfumo unawekwa na mtu kama ulivyotumia mfano wa Magufuli, mfumo imara unawekwa na sheria itakayotoa miongozo ya hao watakaokuwa wanaongoza hizo taasisi waweze kuziendesha bila kuingiliwa na yeyote wakitimiza majukumu yao, na hivyo hivyo wakiharibu washtakiwe bila kuangalia wao ni wakina nani toka chama gani...
Naona kwenye mfumo mnajikita kwenye mifumo inayolinda taasisi za chini zisiingiliwe na rais. Hamtaki kujishughulisha kwamba hizo taasisi za chini zinaweza kutumia hiyo mifumo inayowakingia kifua kufanya mambo ya ovyo kwa kisingizio cha kwamba ni wao ni mihimili inayojitegemea wasiingiliwe.Ukitegemea busara za mtu nayo ni tatizo. Unadhani CAG Assad bila mfumo imara wa kumlinda angeweza kupona wakati wa Magufuli? Pamoja na hasira zake zote, Magufuli alisubiri mpaka mkataba ukaisha, akagoma ku-renew.
Huo ndio mfumo imara, kwamba utafanya kazi yako bila kuogopa hata kama rais hakupendi
JPM hakuifilisi nchi, JPM hakuipelekesha nchi. Mnapenda kurudia rudia sana uongo na inabidi tuwajibu tu kila mara kadri mnavyourejea uongo huo.Yaani nyie Jiwe alivyokuwa anaipelekesha Nchi kama familia yake na kuifilisi kabisa ndio mnataka Strong leaders wa kariba yake?
After JPM ndo hivyo taifa limepata hasara kumpoteza kiongozi wa aina yake! Mfumo gani utakupatia JPM mwingine?Eeh embu tuambie after Jiwe era nini kitafuata,au tumsubiri tena azaliwe Jiwe mwingine mwenye roho mbaya? Mfumo imara unatakiwa uongozwe na kusimamiwa na Katiba na Sheria zenye nguvu zisizompa favor au kumuonea haya mtu yeyote yule awe Rais, Waziri,Mwanajeshi.
hakukua na haja ya kuniita mjinga kiongozi katika familia yako lakini. Mfano wangu ni mtambuka sana kiasi kwamba hata mimi najua sijaweka nyama za kutosha ili mwelevu Kama wewe unielewe. Ila jambo la msingi ni tumepigwa sana mpaka sasa tulitakiwa kuwa donor country. Nukuu hiyo ndiyo kuchelewa kwenyewe huko.
Taifa halijawahi na haliwezi kupata hasara kwa kumpoteza kiongozi wa aina yoyote mkuu,After JPM ndo hivyo taifa limepata hasara kumpoteza kiongozi wa aina yake! Mfumo gani utakupatia JPM mwingine?
"Mfumo imara unatakiwa uongozwe na kusimamiwa na Katiba na Sheria zenye nguvu zisizompa favor au kumuonea haya mtu yeyote yule awe Rais, Waziri,Mwanajeshi."
Kana kwamba hatuna Katiba na Sheria zenye nguvu tayari! We kwa akili yako unahisi hatuna Katiba yenye nguvu? Au Sheria zenye nguvu? Ulichosema na nikubaliane na wewe ni kwamba kinachotakiwa ni usimamizi wenye nguvu. Na hapo ndipo maana ya mtu kwa maana ya "viongozi bora" inapokuja.
Kwani hii nchi imeshakua na marais wangapi ili utolee mfano.subiri nchi ifikishe ata maraisi 10 tuone.Instakiwa ujue hiyo katiba kama ina mapungufu yakiachwa yalivyo inaweza kuja kutumika vibaya miaka 100 ijayo.sasa wewe unaangalia hapa karibu unaacha kujua kua katiba ni andiko na muongozo unaoishi zaidi kuliko sisi binadamu.Yaani nyie mnatoa mifano mizuri kabisa inayojenga hoja ya kwamba watu bora husaidia mifumo. Sasa unapotumia mfano wa 4-4-2 kwenye mpira wote tunafahamu kwamba ili huo mfumo ufanye kazi unahitaji wachezaji bora wenye talanta zao. Makocha hao hao husajiliwa na kutimuliwa mara kwa mara maana wenye timu zao hawaamini katika mifumo wanaamini katika kocha sahihi.
Turudi kwenye mada. Usiamini sana katika sheria, amini katika watu wanaosimamia hizo sheria. Nyerere aliposema katiba imempa Rais wa Tamzania madaraka makubwa kiasi kwamba ningeyatumia kikamilifu ningekuwa dikteta. Kwa nini hakuyatumia? Kwa sababu hakuwa dikteta. Tanzania haijawahi kuwa na rais dikteta hata kama katiba inawapa madaraka makubwa kuwa dikteta. Kwa nini hawajawa madikteta? Kwa sababu kwa asili zao hawakuwa madikteta. Hata JPM anayetuhumiwa kuwa alikuwa na tendency za udikteta bado hakuwa dikteta in a real sense ya udikteta.
Kwa nini mfumo unawapa nguvu ya kuwa madikteta na hawawi? Ni kwa vile mfumo si inshu sana. Inshu ni mtu. Mtu ana uwezo wa kugeuza mfumo mzuri on paper ukawa mbaya sana, na mtu ana uwezo wa kugeuza mfumo mbaya sana on paper ukawa mzuri.
Watu ni muhimu katika mfumo. Bila wao hakuna mfumo imara. Shida ni pale anapopewa mtu mmoja madaraka makubwa sana. Hata CAG office sio perfect, lakini tunaweza kuongeza uimara wake kwa mfano kutafuta kampuni ya nje nayo iwe inafanya random audits za kule alikopita CAG. Ndio mfumo wenyewe unavyojengwa, kwamba wewe kama ni mkaguzi kutoka CAG office unajua kabisa kuna mfumo wa watu kuja kujiridhisha kuhusu kazi yangu.Naona kwenye mfumo mnajikita kwenye mifumo inayolinda taasisi za chini zisiingiliwe na rais. Hamtaki kujishughulisha kwamba hizo taasisi za chini zinaweza kutumia hiyo mifumo inayowakingia kifua kufanya mambo ya ovyo kwa kisingizio cha kwamba ni wao ni mihimili inayojitegemea wasiingiliwe.
Kama mnaogopa kwamba katiba inampa rais madaraka makubwa sana na kwa udhaifu wa kibinadamu anaweza akayatumia vibaya, kwa nini msiogope pia kwamba uhuru wa mihimili mingine nao unaweza kutumika vibaya?
Kama inshu ni kuweka sheria kwamba yeyote atakayetumia vibaya ashtakiwe bila kujali yeye ni mhimili gani, swali litabaki nani atamfunga paka mwenzake kengele. Na ikumbukwe sisi raia hatujui kinachoendelea jikoni, tunalishwa tu matango pori na hayo mamihimili. CAG anapokuletea mareport kwamba shirika hili na lile limepata hasara, hatuwezi kujua uhalisia wa kile kilichoendelea nyuma ya pazia wakati akifanya hayo mahesabu.
Wape watu heshima wanayostahili, nayo ni kwamba mifumo inategemea watu.