maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,345
- Thread starter
- #21
Compact, hii ya wakurya na wamaasai ilikuwa joke tu si unajua wakurya na wamaasai ni watani lakini katika masuala ya kuibiana ng'ombe tu si vinginevyo.Upo sahihi,Hakuna Wilaya ya Meru. Meru ipo ndani ya wilaya ya Arumeru kulipo jimbo la Arumeru Mashariki kwa Mh. Nassari.
Sisi wote ni Watanzania,ukiona mwanao hafai kwenda shule hiyo kwa sababu yeye ni Mkurya na wenyeji wa eneo hilo ni Wamasai na Wameru basi sioni mantiki ya yeye kusoma Mwanza kwa Wasukuma. Angesoma huko Musoma kwa Wakurya wenzake.
In fact shule ni njema na itabutua hata zaidi ya hiyo Mwanza Alliance.
Kwanza, tangu udogoni mwangu nimekua nikijua wamaasai ni adui wa kila mtu duniani maana tukiwaita "ABHABISA" yaani maadui. Na mmaasai kabla ya miaka ya 80 asingeweza kukanyaga kwa wakurya asipigiwe yowe nakuuawa hata mchsna wa jua kali.
Pili, kwa mkurya wakati huo tukiamini kwamba ng'ombe wote wa wamaasai waliwekeshwa kwao na mababu zetu kisha wakawakatalia kwa nguvu.