Naomba maelezo ya Kisimiri High School

Naomba maelezo ya Kisimiri High School

Mwanangu amechaguliwa kutoka Alliance Girls Mwanza kusoma HKL kidato cha tano shule ya Kisimiri high school iliyoko Meru mkoa wa Arusha.

Binafsi sikuwahi kujua kama kuna wilaya ya Meru ila najua kuna Arumeru. Tumejitahidi kugoogle kuiona haifunguki. Kwa anayeijua shule hii naomba maelezo yanayoihusu maana tumeambiwa ni maalum kwa watoto wa wafugaji wa kimaasai na iko kwenye manyata ya kimaasai. Sasa mkurya na mmaasai wapi na wapi.

Maramia
Mwanza.
Mkuu, matokeo tayari, tunaomba matokeo ya binti yetu tafadhali.
 
Naikubali sana hii shule...
ni special school mpya baada tamu balaa
kasoma mke wangu pcm
 
Back
Top Bottom