Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
1,400
2,000
Usijaribu unatengeneza bomu litaloripuka miaka ya baadae, faida ni za muda mfupi

Faida na Hasara
Utadumu kufanya ngono kwa muda mrefu ila mwili wako utazoea hizo dawa matokeo yake bila hizo hutaweza kufanya kitu.

Ukizidisha zaidi ya kiwango kinachoshauriwa utakufa kwasababu presha itapanda matokeo yake unaaga dunia.
 
khidego

Member
Dec 25, 2016
86
150
izo ni sildenafil(first generation ya dawa za kusaidia watu wenye tatizo la nguvu za kiume-(erectile dysfunction/impotence)
zinapatikana kwa vidonge vyenye active ingredients ya 50/100mg.. unatumia kidonge kimoja kabla ya kunjunjana.. inakusaidia uperform vizuri for almost 5 to 6 hours na inaanza kufanya kazi 5-10 minutes baada ya kuitumia , ila kama mdau wa juu apo alivosema kama unashida ya blood pressure tumia kwa tahadhari, maana inaongeza mpk kasi ya mzunguko wa damu.
ila nakushauri, if unataka result nzuri bila side effect kubwa, tumia tadalafil(mplify, apcalics, saheal) izi ni third generation na active ingredient yake ni only 20mg, zimepunguziwa area zinakoenda kusababisha effects, zenyewe zinalenga kuongeza kiwango cha damu kinachoingia kwene uume kwa kuongeza dilation ya vessels zinazopeleka damu huko, zitakusaidia uwe active for 36-72, depending na brand, zinaanza kufanya kazi 30-60 min.. so unaeza itumia mda mrefu kabla ya tukio, hazileti effect kama hujawa sexual stimulated... so for all those hours utakuwa active pale tu unapotaka kuperform kama zilivo hisia za kawaida
Kumbuka; izi dawa zipo kwa ajili ya wenye matatizo, kama huna tatizo usipendelee kuzitumia, ila kama mtu amekudanga mpaka unaona kiasilia hutaenda nae sawa... hamna namna tumia tu ila malaya hakomolewi,
zaidi, piga matizi, kula msosi safi, epukana na kitu kinaitwa stress(kujihisi una tatizo).. tatizo la nguvu za kiume sio kubwa kama linavochukuliwa ila linatengenezwa kwa propaganda ni maada ndefu.
zaidi, izi dawa zinaweza tumika pia kuwasaidia wenye matatizo ya pressure
over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Widowmaker

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
305
1,000

Asante kwa ufafanuzi mzuri

Tunaweza kupata hizi dawa kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
benluv

JF-Expert Member
Feb 13, 2016
409
500

UMEFAFANUA VIZURI MKUU,KAZI KWAO WATEGEMEZI WAZEE WA UTELEZI,WAZEE WA KITONGA KAMA NAWAONA VILE....
 
benluv

JF-Expert Member
Feb 13, 2016
409
500
kumbeeeee,ndiyo maana siku hizi huku mtaani sioni vibox vya condom. zaidi nakutana na vipakti vya 50mg/100mg za viagra erecto nk....basi nikawa najiuliza huku tuendako ni wapi sasa....TUTAKUFA SASA KWA AIDS
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,651
2,000
Usijaribu unatengeneza bomu litaloripuka miaka ya baadae, faida ni za muda mfupi

Faida na Hasara
Utadumu kufanya ngono kwa muda mrefu ila mwili wako utazoea hizo dawa matokeo yake bila hizo hutaweza kufanya kitu.

Ukizidisha zaidi ya kiwango kinachoshauriwa utakufa kwasababu presha itapanda matokeo yake unaaga dunia.

Correction:
Pressure itashuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SPINE

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
1,008
2,000
Mkuu hiyo njia ya madawa sio nzuri sana kwa manufaa ya baadae, kwanza kabisa ni vyema ukajua tatizo ni nini mpaka mambo yamekuwa sio mazuri. Kutokana na tatizo utakalokuwa nalo ndio utafute namna ya kujikwamua, shida ya hizo dawa ni utegemezi, itakuwa lazima upate hiyo kitu ndio uende mzigoni, pia dozi hupanda kadri siku zinavyokwenda. Swali la msingi: Ukifika dozi ya mwisho utatumia nini?
 
khidego

Member
Dec 25, 2016
86
150
Hakuna kazi nzito kama kwenda duka la madawa kununua viagra...unaweza kuzunguka mji mzima unayapita maduka lakini hununui

Sent using Jamii Forums mobile app
duuuh! mkuu umenichekesha sana, tafuta pharmacy yenye mshikaji wa kiume... utanunua bila shida.
au unaandika kwene kikaratasi ukifika unampa kikaratasi tu, anakwambia bei... unalipa unapewa mzigo unasepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
khidego

Member
Dec 25, 2016
86
150
Mkuu hiyo njia ya madawa sio nzuri sana kwa manufaa ya baadae, kwanza kabisa ni vyema ukajua tatizo ni nini mpaka mambo yamekuwa sio mazuri. Kutokana na tatizo utakalokuwa nalo ndio utafute namna ya kujikwamua, shida ya hizo dawa ni utegemezi, itakuwa lazima upate hiyo kitu ndio uende mzigoni, pia dozi hupanda kadri siku zinavyokwenda. Swali la msingi: Ukifika dozi ya mwisho utatumia nini?
sahihi mkuu, ndo mana tunashauri atumie mgonjwa, afu atumie kwa sababu za msingi kwa mfano anataka mtoto, na kustarehe kidogo na wife... but kuimarisha afya ni kitu kizuri zaidi kama tatizo sio la kudumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coolant

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
980
1,000
Mkuu hiyo njia ya madawa sio nzuri sana kwa manufaa ya baadae, kwanza kabisa ni vyema ukajua tatizo ni nini mpaka mambo yamekuwa sio mazuri. Kutokana na tatizo utakalokuwa nalo ndio utafute namna ya kujikwamua, shida ya hizo dawa ni utegemezi, itakuwa lazima upate hiyo kitu ndio uende mzigoni, pia dozi hupanda kadri siku zinavyokwenda. Swali la msingi: Ukifika dozi ya mwisho utatumia nini?

Ataji overdose
 
Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,116
2,000
Zawadi yangu kwenu
IMG_20190101_135340.jpeg
IMG_20190101_133922.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom