Naomba maelezo mafupi kuhusu viagra

Jana usiku nilikua na show ambayo ilihitaji reinforcement maana nilikua nataka kuacha legacy..
Nilizunguka pharmacy zote nakuta madingi wa age ya 50's na mamaza wakubwa tu..

Aiseeh niliondoka kapa nikaenda kupiga show kibabe tu...nikanywa maji mengi na show ikaenda vizuri ingawa sikuacha legacy niliyoitarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
izo ni sildenafil(first generation ya dawa za kusaidia watu wenye tatizo la nguvu za kiume-(erectile dysfunction/impotence)
zinapatikana kwa vidonge vyenye active ingredients ya 50/100mg.. unatumia kidonge kimoja kabla ya kunjunjana.. inakusaidia uperform vizuri for almost 5 to 6 hours na inaanza kufanya kazi 5-10 minutes baada ya kuitumia , ila kama mdau wa juu apo alivosema kama unashida ya blood pressure tumia kwa tahadhari, maana inaongeza mpk kasi ya mzunguko wa damu.
ila nakushauri, if unataka result nzuri bila side effect kubwa, tumia tadalafil(mplify, apcalics, saheal) izi ni third generation na active ingredient yake ni only 20mg, zimepunguziwa area zinakoenda kusababisha effects, zenyewe zinalenga kuongeza kiwango cha damu kinachoingia kwene uume kwa kuongeza dilation ya vessels zinazopeleka damu huko, zitakusaidia uwe active for 36-72, depending na brand, zinaanza kufanya kazi 30-60 min.. so unaeza itumia mda mrefu kabla ya tukio, hazileti effect kama hujawa sexual stimulated... so for all those hours utakuwa active pale tu unapotaka kuperform kama zilivo hisia za kawaida
Kumbuka; izi dawa zipo kwa ajili ya wenye matatizo, kama huna tatizo usipendelee kuzitumia, ila kama mtu amekudanga mpaka unaona kiasilia hutaenda nae sawa... hamna namna tumia tu ila malaya hakomolewi,
zaidi, piga matizi, kula msosi safi, epukana na kitu kinaitwa stress(kujihisi una tatizo).. tatizo la nguvu za kiume sio kubwa kama linavochukuliwa ila linatengenezwa kwa propaganda ni maada ndefu.
zaidi, izi dawa zinaweza tumika pia kuwasaidia wenye matatizo ya pressure
over.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyomalizia we utakuwa dr mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza kuna dawa zipo kama glucose kwenye pakti nimezisahau jina zinatoka Kenya hazina madhara kbsa, unakunywa na maji lita1 htr utagegeda mpka papuchi inukie baruti tena kwa style ya Bondage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu unatengeneza bomu litaloripuka miaka ya baadae, faida ni za muda mfupi

Faida na Hasara
Utadumu kufanya ngono kwa muda mrefu ila mwili wako utazoea hizo dawa matokeo yake bila hizo hutaweza kufanya kitu.


Ukizidisha zaidi ya kiwango kinachoshauriwa utakufa kwasababu presha itapanda matokeo yake unaaga dunia.
Acha uongo mjomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula Viagra mwisho wa siku demu hatokei hapo ndio utajuwa CHAPUTA ni chama gani cha siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niliwahi kula njoy 50g demu alikuwepo ninae ila alinicheleweshea mzingo, kila nikitaka naambiwa nitulie kwanza yeye yupo tu ntapewa yote sio muda hadi nikakata tamaa(sijuagi kulazimisha) mtandao unasoma 4G nmekuja kupewa yamepita masaa matano, mbona nilijuta maana dushelele lilikua dede bila ruhusa yangu.
 
ya kupanda wanaita hypertension
ya kushuka wanaita hypotension


viagra hupandisha presha
kama una tatizo la hypotension inaweza kukusaidia kupandisha ikakaa vizur

ila kama una hypertension inaweza kukusababishia kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu, inashusha pressure kwa kuongeza diameter ya mishipa ya damu, mechanism ya kusaidia mdau kuwa nyuzi tisini ni kwamba inadilate mishipa ya damu inayopeleka damu kule na kufanya nyingi iflow kuingia huko.. na ukiwa sexual stimulated damu ikiingia kule huwa inazuiliwa kutoka, ko kitu kinakuwa nyuzi 90 hadi 170 mda wote.

Zenyewe zinashusha pressure ko ni contraindicated kwa wenye hypotension sio hypertension, huwa inatumika pia kutibu watu wenye shida ya hypertension.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu unatengeneza bomu litaloripuka miaka ya baadae, faida ni za muda mfupi

Faida na Hasara
Utadumu kufanya ngono kwa muda mrefu ila mwili wako utazoea hizo dawa matokeo yake bila hizo hutaweza kufanya kitu.


Ukizidisha zaidi ya kiwango kinachoshauriwa utakufa kwasababu presha itapanda matokeo yake unaaga dunia.
Mmmh! viagra zinapandisha presha au zinashusha presha.
 
Back
Top Bottom