Naomba kujuza kuhusu IAA kampasi ya DSM

mzizi1

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
255
692
Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM

Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na contents yao naona kama vitu vingi vinafaa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu kuhusu ndaki hii, mazingira, shule kiujumla na culture yao.

Kuna target isipofikiwa, mradi utakatisha ufadhili.

Karibuni ndugu kunipatia chakula cha ubongo
 
Hii master of Information Security inayotolea kampasi ya Dar, mradi utanihitaji nisome huku nafanya kazi
 
Back
Top Bottom