Naomba maelekezo kuhusu Induction cooker

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,880
4,508
Habari wakuu.

Naomba kufahamu zaidi juu ya hili jiko la kupikia. Nipo Mwanza naweza kulipata wapi? Kampuni gani nzuri? Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri? Nini hasara zake? Bei yake ipoje (One plate and two plates?)

Asanteni.

1619589977486.png

kampuni gani nzuri?
BlackStone

Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri?
liko vizuri sana, ufanisi mkubwa, halina joto, unawezapika ukakaa juu ya ile plate, ila kila chenye kizuri kina gharama

Nini hasara zake?
Umeme baba umeme, mengi ni 2000 W (plate moja), ukipiga full, ndani ya saa moja linakata unit 2 za umeme chap

Bei yake ipoje(One plate and two plates?
Plate moja bei ni kuanzia 70k mpaka 100k
 
Asanteni sana ndugu zangu. Vipi upatikanaji wake? Warrant muda gan?
 
BlackStone

liko vizuri sana, ufanisi mkubwa, halina joto, unawezapika ukakaa juu ya ile plate, ila kila chenye kizuri kina gharama

umeme baba umeme, mengi ni 2000 W (plate moja), ukipiga full, ndani ya saa moja linakata unit 2 za umeme chap

plate moja bei ni kuanzia 70k mpaka 100k
Duuh hapo kwenye umeme hapo kuna tatzo.Baba mwenye nyumba atanifukuza mapema sana😂😂😂😂
 
BlackStone

liko vizuri sana, ufanisi mkubwa, halina joto, unawezapika ukakaa juu ya ile plate, ila kila chenye kizuri kina gharama

umeme baba umeme, mengi ni 2000 W (plate moja), ukipiga full, ndani ya saa moja linakata unit 2 za umeme chap

plate moja bei ni kuanzia 70k mpaka 100k
Kama kapanga litamfarakanisha na majirani unit 2 siyo mchezo
 
Back
Top Bottom