Naomba kutolewa ushamba

Naomba kutolewa ushamba

Unajua wengi wanatumia tu thursday sjajua kwa nn **** zile mcm wcw kama ntakua sahihi

ubaya wa sisis watz hua tunapenda kuiga kila kitu na kujifanya tunajua kumbe wakati mwingine ni bora tu ukawa mshamba ukauliza hapo ndo uanze kutumia neno fulani
 
ubaya wa sisis watz hua tunapenda kuiga kila kitu na kujifanya tunajua kumbe wakati mwingine ni bora tu ukawa mshamba ukauliza hapo ndo uanze kutumia neno fulani

Haswaaa kabisa
 
lkn ukifuatilia hyo vizuri kwa wenzetu wa mbele wao wanaita internet shortcuts wengine wanaweka hyo TBT wakimaanisha Truth been Told
 
lkn ukifuatilia hyo vizuri kwa wenzetu wa mbele wao wanaita internet shortcuts wengine wanaweka hyo TBT wakimaanisha Truth been Told

mh kazi kweli kweli haya mambo ni mageni bora uonekane mshamba tu......maana unaweza ukatumia neno ndivyo sivyo jamii ikakushangaa
 
Dah Lugha hii iliyokuja na Meli ina mambo kweli...yan ukisoma neno kama lilivyo linaeleweka ila maana nyingine kabisa...sasa Thursday inaingiaje hapo kweny picha zlizopita wakat Thursday ni Alhamis dah!

Uyo amekosea ni time hapo na sio Thursday
 
Tbt ni kwa ajili ya siku ya Alhamis na huwez eka picha jumatano ukaandika tbt ila jumatano utaandika wcw na jumatatu utaandika mcm jumanne ukiandika rtt!
 
FYI na BTW kirefu chake sikijui ila naona yakitumika sana huku jf,msaada tafadhali km unafahamu kirefu chake.

FYI = For Your Information
BTW = By the way.

Siku nyingine jaribu ku gugo kiongozi..
 
Umepotea dogo

Ni throw back thursday....

Au Truth Be Told

Baaas

Haaaa iyo yako me siijui,nchojua unaweza ukawa na picha za kitambo alafu unamonyesha mtu au unamtumia mtu alafu unamwambia TBT ukiwa na maana kipindi icho yani throw back time kubwa
 
Back
Top Bottom