Naomba kutolewa ushamba

Naomba kutolewa ushamba

Mi nijuavyo ni Throw Back Time Yani Tupa Muda Nyuma ikiwa kama ishara ya kujikumbushia picha za zamani kidogo, Sasa kuna Kipindi cha Tv Kipo MTV BASE wanakiita TbT yani Throw Back Thursday kwa mawazo yangu nikahisi raia wameiga hapo hiyo Thursday badala ya time lakini ikiwa na lengo lilelile moja.
 
Na hizi MCM wcw mara sijui Mcb ndo maninihaya jamani? mi najua ni namba za kirumi.
 
Tbt ni kwa ajili ya siku ya Alhamis na huwez eka picha jumatano ukaandika tbt ila jumatano utaandika wcw na jumatatu utaandika mcm jumanne ukiandika rtt!

asante kwa kunitoa ushamba in advance ......du kweli nlikua nyuma
 
wala haina haja ya mabishano kwani hata ukigoogle sites za urban dictionary . .hizo abbreviations zina maana tofauti tofauto.
mfano; LOL= Laugh out loud, Lots of love.
TBT, BTW, FYI na mengine mengi yanatumiwa tofauti kulingana na mazingira na main theme ya mazungumzo ya mjadala.
 
nimekuelewa vzur sana mkuuu
 
Back
Top Bottom