Raha ya kusemwa unatongozwa mtongozqji awe na hela na ajue kuzitumia haswaa kutongozeaNikisema hadharani watasema nina kutongoza uje kwa pm yangu tafadhali
You do not need to constantly prove your worth or seek validation coz your value comes within,Usipojipa umuhimu nani atakupa?
Huwa hatusubiri pesa zinazosikilizia mchongoUsiwaze kabisa kuhusu hela, maana nitafanya michango ili niweze kufanikisha
In silence?You do not need to constantly prove your worth or seek validation coz your value comes within,
External validation does't define you,people drift and their focus changes,true self worth does not require loud audience or proof,your character speak for itself in silence.
Nilijua tu utaingia kwenye mtego,In silence?
. What do you mean? If you don't experess yourself who's gonna give a damn about you?
😅😅😅😅Nilijua tu utaingia kwenye mtego,
Hivi Gunner unapata faida gani kuanzisha IDs mpya kila siku?
Hujiamini? hebu jipe muda utafakari na maisha mengine nje ya JF.
Kiukweli kabisa Wazee wa VAR mna nafasi yenu special kwa Mkuu Melo. 😀😀Mkuu unajua hapa JF ukijifanya mjuaji sana,haya ndio hua matokeo yake,
Kijana hua anaamini kua yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule hapa JF
Na anachokipata sasa ndio itakua tiba ya huo ugonjwa wake.
Naunga mkono hoja , Chiwawa ni kama secretarybird wanachangamsha jukwaa wapunguziwe banIla jamaa arudishwe tu, ni kama jf inaboa asipo kuwepo 🤣
Mgeni unahitaji watu PM , hiyo confidence unaitoa wapi ?Ninakuhitaji katika pm yangu tafadhali
ItakuwaNani huyo? Sio Chiwawa?? 😂😂😂