DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,329
Nimeharibu vipi mkuu. Wanaelewa wanachunguzwa. Na text messages zinazohitajika ni za zamani. Sasa hivi hata kuwaweka kwa gazeti ni sawa tu. Hawajakimbia, wapo, na wameweka chini ya ulinzi kwamba wasitoke kabisa nje ya mji bila ruhusa.Umeshaharibu siri
Jf kmbkijiji tayari wameshajua unawatafuta
Huku hata muokota makopo ya maji wanauwezo wa kuingia humu
Skuizi smartphone wote tunazo sembuse hao
Naenda playstore ukamalize tatizo
Asante sana mkuu kwa kutumia muda wako kutoa ushauri mzuri kabisa. Watu wengine watafaidika na ushauri wako pia. Thanks againUmeshirikisha polisi. Ni vyema
Sasa kutoa TAARIFA za mawasiliano ya mtu ni KOSA kisheria.. huku si mahala pake.
Ushauri.
Nenda polisi, ongea na mpelelezi, chukua RB, ongea na mpelelezi, muingie ktk Uchunguz wa kimtandao ambapo mtachek calls na txt zote kwa kufata sheria za kimtandao.
Na sio ufatilie wewe au mtu tu mwingine bila kuhusisha jeshi la police.
Halafu uwa hayako 100% accurate maana inategemea na intepreter wa kusoma matokeo, pili ni lazima yawe accompanied na ushaidi mwingine, huwezi kuhitimisha kuwa huyu ndiye mwenye makosa kwa polygraph tu hata huko kwa wenzetu lazima uwepo na ushahidi mwingine.Hayo mambo ya polygraph ni ya uchumi wa kwanza na kwenye muvi bado hatujafika huko utapoteza muda. Nenda kwa “wazee wa kuzoom” ukaangalie aliyechukua kwenye ndoo
Asante sana sana mkuu. Kweli umetoa ushauri mzuri kabisa kama detective mashuhuri kabisa. Nashukuru kwa hilo na kwa mchango wako mkuu. Nitalifanyia hili kazi. 🙏🙏🙏🙏Hebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?
Kwa kuangalia maelezo yako, hao Watuhumiwa wanonekana kama Mambwiga fulani hivi wasiojua chochote ndo maana ulipowatajia habari za polygraph, wakaogopa! Kama ndivyo, then fanya yafuatayo!
Mosi... hakuna cha polygraph wala nini lakini kv inaonesha wanaogopa hiyo kitu, basi nenda polisi kisha afande atakayekabidhiwa kesi impe stori mzima jinsi jamaa walivyokuwa wamechachawa waliposikia habari za polygraph, kisha mpange Afande mufanye polygraphing fake!
How to make it happen?!
Kuwe na polisi mmoja, fake polygrapher mmoja na doctor/fake doctor mmoja!!
Jamaa wanakuwa arrested halafu mmoja anaanza kuingizwa kwenye "chumba cha polygraph" ambacho kutakuwa na ONLY a police officer na huyo fake polygrapher.
Fake polygrapher ata-set mitambo yake tisha bwege, huku mrija mmoja ukifungwa kifuani kwa mtuhumiwa upande wa moyo, na hakikisha hiyo mirija mirija inakuwa connected kwenye kifaa cha umeme... anything like betri ya gari lakini ionekane more of power device.
Polygrapher fake akisha-connect hayo mamitambo (bila shaka hapo jamaa atakuwa kojo debe), atatulia as if kuna kitu anasubiri, kisha itokee mazungumzo kama yafuatayo:-
Police: Hey, mbona huendelei na hilo zoezi? Unajua kuna kesi zingine zinasubiri?"
Polygrapher: Sa Afande si unajua hatuwezi kufanya hili zoezi bila daktari kumpima mtuhumiwa mapigo ya mo..."
Police: Daktari daktari bhana, hebu anza kazi mara moja!
Polygrapher: Afande, hizi mashine za Kirusi ni tofauti na zile za KImarekani. Hii huwa inafanya synchronization (taja neno lolote gumu gumu) ya mapigo ya moyo kupitia mishipa mipana ya damu ya haemoglobini.
Police: Kwahiyo?
Polygrapher: Afande, kama hatujui uimara wa moyo wake, halafu ile synchronization kwenye mishipa ya damu ika-detect uongo kwenye maelezo yake, hapo hapo inaweza kutokea otorhinolaryngologism inayoweza kupasua mishipa ya damu ya kwenye pulomonari ateri.
Police: Toka... kama unaogopa nafanya mwenyewe.
Jomba, asipotaja zilizobaki zipo wapi, basi sio mimi!
Duh. Aisee kwelo nimekuelewa. Naweza fanya hivyo halafu nikiona message zinazowa-implicate katika uhalifu hul basi ndio nafuata utaratibu ili zitumike na mamlaka. Asante sana mkuuKiutaratibu huwezi kupata msg za mtu mpaka uusishe polisi japo kuna wafanyakazi wa ii mitandao wasio waaminifu uwa wanzitoa mimi msg zangu aliwahi kupewa mpenzi kwa issue tu za mapenzi akihisi nina mcheat, tena wakaenda mbali zaidi wakawa wanaziforward kwake kila msg nazotuma na kutumiwa.
Mpaka kufikia hapo inakwua tayari ni issue ya polisi maana nadhani mpaka upate kibari cha TCRA na polisi ndo wanaweza kufanya hivyoDuh. Aisee kwelo nimekuelewa. Naweza fanya hivyo halafu nikiona message zinazowa-implicate katika uhalifu hul basi ndio nafuata utaratibu ili zitumike na mamlaka. Asante sana mkuu
huku kwetu ni kipigo tu hadi utaongeaHayo mambo ya polygraph ni ya uchumi wa kwanza na kwenye muvi bado hatujafika huko utapoteza muda. Nenda kwa “wazee wa kuzoom” ukaangalie aliyechukua kwenye ndoo
Mkuu fik kituo chochote cha polisi kuanza kazi yako kama detective chief inspectorHebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?