Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
1,654
3,313
Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa.

Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo la Greenland bank wakapoteza hela zao zote enzi hizo. Kwa hio na yeye haamini kabisa kuweka hela banks. Sasa hivi karibuni ndio machungu yametokea na nafikiri anajuta na kutamani angeweka benki.

Katika ndoo hio ametunza akiba ya miaka mitano. Kila akipata hela amekuwa anatunza akiba laki mbili au zaidi. Kwa hio kwa hesabu za haraka haraka ni zaidi ya 10 million for 5 years. Hakugundua hadi juzi, ila wizi huo, kuna uwezekano kuwa ulitokea hata mwezi umepita sababu anaenda kwa ndoo mara moja kwa mwezi akipata mshahara kuweka akiba yake. Juzi ndio anaenda kuweka akiba anakuta ndoo hakuna. Tarehe kamili ya wizi haijulikani. Ndoo hio hata mimi niliwahi kumwona zamani sana anaifanyia welding, ila sikujua kabisa habari zake kwamba ni ya kutunzia hela. Mimi ndio mwajiri wake. Ila kuna mtu au watu itakuwa walijua sababu ilikuwa kwa room ya store ya nyumba ya huyo kijana na hawajaiba kingine zaidi ya hio ndoo tu. Ndoo ni ya chuma, mfuniko chuma, na ilikuwa imefungwa bolti kwa sakafu.

Kuna wafanyakazi wawili ndio tunawahisi, inaonekana walipanga njama sababu wamekuwa na hela sana hivi karibuni zaidi ya kawaida. Pia baada ya wote kukataa nili-arrange kwa polygraph test. Wote wakaja kasoro hao wawili waliogopa. Napenda kupata messages zao kuona kama kuna information za kupata kutoka kwa hizo text messages.

Utaratibu wa kupata messages ni upi? Kwa wasiojua, ukituma message kama simu ni ya halotel kwa mfano, halotel wanatunza messages hizo kwa computer database yao kwa muda fulani. Kwa hio hata mtu ukifuta messages kwa simu, uwezekano wa kuzipata upo. Sijui process yake na ndio naomba information. Namba za hao wawili ni halotel, na ndio nataka kuanza nao. Polisi wameshahusika, na wamewadadisi wafanyakazi wote kazini pasipo kupata jibu la maana. Kama kuna ushauri mwingine pia nisaidieni.

Tatizo hakuna ushahidi kamili na hawajakiri. Ila dalili zote zinalenga kwa hao vijana wawili. Pia walikubali kufanya adhabu ya kazi miezi miwili mizima bila malipo nilipowatishia kuwapeleka jela au else kwamba wafanye adhabu. Ila hawakukiri wakasema tu afadhali kufanya adhabu ila hawajahusika. Miezi miwili ita-recuperate 2 million only, sababu kila mmoja anapata around 500k kwa mwezi. Ila nilisema tu hivyo kuwatega, na wakakubali mtego. Naombeni ushauri zaidi. Pia naomba habari za polygraph test ya uhakika Tz. Niliyoifanya mtu huyo alitumia home-kit tu na sio high quality sana. Police depts tanzania wanafanya polygraph testing? Shida hata hio nayo haitumiki mahakamani. Ni njia tu ya ku-eliminate au ku-include suspects.
 
Umeshaharibu siri

JF kmbkijiji tayari wameshajua unawatafuta

Huku hata muokota makopo ya maji wanauwezo wa kuingia humu

Skuizi smartphone wote tunazo sembuse hao.

Naenda playstore ukamalize tatizo
 
Umeshaharibu siri

Jf kmbkijiji tayari wameshajua unawatafuta

Huku hata muokota makopo ya maji wanauwezo wa kuingia humu

Skuizi smartphone wote tunazo sembuse hao

Naenda playstore ukamalize tatizo
Nimeharibu vipi mkuu. Wanaelewa wanachunguzwa. Na text messages zinazohitajika ni za zamani. Sasa hivi hata kuwaweka kwa gazeti ni sawa tu. Hawajakimbia, wapo, na wameweka chini ya ulinzi kwamba wasitoke kabisa nje ya mji bila ruhusa.
 
Umeshirikisha polisi. Ni vyema

Sasa kutoa TAARIFA za mawasiliano ya mtu ni KOSA kisheria.. huku si mahala pake.

Ushauri.

Nenda polisi, ongea na mpelelezi, chukua RB, ongea na mpelelezi, muingie ktk Uchunguz wa kimtandao ambapo mtachek calls na txt zote kwa kufata sheria za kimtandao.

Na sio ufatilie wewe au mtu tu mwingine bila kuhusisha jeshi la police.
 
Asante sana mkuu kwa kutumia muda wako kutoa ushauri mzuri kabisa. Watu wengine watafaidika na ushauri wako pia. Thanks again
 
Hebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?

Kwa kuangalia maelezo yako, hao Watuhumiwa wanonekana kama Mambwiga fulani hivi wasiojua chochote ndo maana ulipowatajia habari za polygraph, wakaogopa! Kama ndivyo, then fanya yafuatayo!

Mosi... hakuna cha polygraph wala nini lakini kv inaonesha wanaogopa hiyo kitu, basi nenda polisi kisha afande atakayekabidhiwa kesi impe stori mzima jinsi jamaa walivyokuwa wamechachawa waliposikia habari za polygraph, kisha mpange Afande mufanye polygraphing fake!

How to make it happen?!

Kuwe na polisi mmoja, fake polygrapher mmoja na doctor/fake doctor mmoja!!

Jamaa wanakuwa arrested halafu mmoja anaanza kuingizwa kwenye "chumba cha polygraph" ambacho kutakuwa na ONLY a police officer na huyo fake polygrapher.

Fake polygrapher ata-set mitambo yake tisha bwege, huku mrija mmoja ukifungwa kifuani kwa mtuhumiwa upande wa moyo, na hakikisha hiyo mirija mirija inakuwa connected kwenye kifaa cha umeme... anything like betri ya gari lakini ionekane more of power device.

Polygrapher fake akisha-connect hayo mamitambo (bila shaka hapo jamaa atakuwa kojo debe), atatulia as if kuna kitu anasubiri, kisha itokee mazungumzo kama yafuatayo:-

Police: Hey, mbona huendelei na hilo zoezi? Unajua kuna kesi zingine zinasubiri?"
Polygrapher: Sa Afande si unajua hatuwezi kufanya hili zoezi bila daktari kumpima mtuhumiwa mapigo ya mo..."
Police: Daktari daktari bhana, hebu anza kazi mara moja!

Polygrapher: Afande, hizi mashine za Kirusi ni tofauti na zile za KImarekani. Hii huwa inafanya synchronization (taja neno lolote gumu gumu) ya mapigo ya moyo kupitia mishipa mipana ya damu ya haemoglobini.

Police: Kwahiyo?

Polygrapher: Afande, kama hatujui uimara wa moyo wake, halafu ile synchronization kwenye mishipa ya damu ika-detect uongo kwenye maelezo yake, hapo hapo inaweza kutokea otorhinolaryngologism inayoweza kupasua mishipa ya damu ya kwenye pulomonari ateri.

Police: Toka... kama unaogopa nafanya mwenyewe.

Jomba, asipotaja zilizobaki zipo wapi, basi sio mimi!
 
Kiutaratibu huwezi kupata msg za mtu mpaka uusishe polisi japo kuna wafanyakazi wa ii mitandao wasio waaminifu uwa wanzitoa mimi msg zangu aliwahi kupewa mpenzi kwa issue tu za mapenzi akihisi nina mcheat, tena wakaenda mbali zaidi wakawa wanaziforward kwake kila msg nazotuma na kutumiwa.
 
Hayo mambo ya polygraph ni ya uchumi wa kwanza na kwenye muvi bado hatujafika huko utapoteza muda. Nenda kwa “wazee wa kuzoom” ukaangalie aliyechukua kwenye ndoo
Halafu uwa hayako 100% accurate maana inategemea na intepreter wa kusoma matokeo, pili ni lazima yawe accompanied na ushaidi mwingine, huwezi kuhitimisha kuwa huyu ndiye mwenye makosa kwa polygraph tu hata huko kwa wenzetu lazima uwepo na ushahidi mwingine.
 
Hebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?

Kwa kuangalia maelezo yako, hao Watuhumiwa wanonekana kama Mambwiga fulani hivi wasiojua chochote ndo maana ulipowatajia habari za polygraph, wakaogopa! Kama ndivyo, then fanya yafuatayo!

Mosi... hakuna cha polygraph wala nini lakini kv inaonesha wanaogopa hiyo kitu, basi nenda polisi kisha afande atakayekabidhiwa kesi impe stori mzima jinsi jamaa walivyokuwa wamechachawa waliposikia habari za polygraph, kisha mpange Afande mufanye polygraphing fake!

How to make it happen?!

Kuwe na polisi mmoja, fake polygrapher mmoja na doctor/fake doctor mmoja!!

Jamaa wanakuwa arrested halafu mmoja anaanza kuingizwa kwenye "chumba cha polygraph" ambacho kutakuwa na ONLY a police officer na huyo fake polygrapher.

Fake polygrapher ata-set mitambo yake tisha bwege, huku mrija mmoja ukifungwa kifuani kwa mtuhumiwa upande wa moyo, na hakikisha hiyo mirija mirija inakuwa connected kwenye kifaa cha umeme... anything like betri ya gari lakini ionekane more of power device.

Polygrapher fake akisha-connect hayo mamitambo (bila shaka hapo jamaa atakuwa kojo debe), atatulia as if kuna kitu anasubiri, kisha itokee mazungumzo kama yafuatayo:-

Police: Hey, mbona huendelei na hilo zoezi? Unajua kuna kesi zingine zinasubiri?"
Polygrapher: Sa Afande si unajua hatuwezi kufanya hili zoezi bila daktari kumpima mtuhumiwa mapigo ya mo..."
Police: Daktari daktari bhana, hebu anza kazi mara moja!

Polygrapher: Afande, hizi mashine za Kirusi ni tofauti na zile za KImarekani. Hii huwa inafanya synchronization (taja neno lolote gumu gumu) ya mapigo ya moyo kupitia mishipa mipana ya damu ya haemoglobini.

Police: Kwahiyo?

Polygrapher: Afande, kama hatujui uimara wa moyo wake, halafu ile synchronization kwenye mishipa ya damu ika-detect uongo kwenye maelezo yake, hapo hapo inaweza kutokea otorhinolaryngologism inayoweza kupasua mishipa ya damu ya kwenye pulomonari ateri.

Police: Toka... kama unaogopa nafanya mwenyewe.

Jomba, asipotaja zilizobaki zipo wapi, basi sio mimi!
Asante sana sana mkuu. Kweli umetoa ushauri mzuri kabisa kama detective mashuhuri kabisa. Nashukuru kwa hilo na kwa mchango wako mkuu. Nitalifanyia hili kazi. 🙏🙏🙏🙏
 
Kiutaratibu huwezi kupata msg za mtu mpaka uusishe polisi japo kuna wafanyakazi wa ii mitandao wasio waaminifu uwa wanzitoa mimi msg zangu aliwahi kupewa mpenzi kwa issue tu za mapenzi akihisi nina mcheat, tena wakaenda mbali zaidi wakawa wanaziforward kwake kila msg nazotuma na kutumiwa.
Duh. Aisee kwelo nimekuelewa. Naweza fanya hivyo halafu nikiona message zinazowa-implicate katika uhalifu hul basi ndio nafuata utaratibu ili zitumike na mamlaka. Asante sana mkuu
 
Mpaka kufikia hapo inakwua tayari ni issue ya polisi maana nadhani mpaka upate kibari cha TCRA na polisi ndo wanaweza kufanya hivyo
 
Utaratibu upo hivi.nenda police kachukue RB na utaenda kitengo chao cha cha cyber.utaandikiwa barua ya kukuruhusu wewe kupata hivo message kwenye mtandao husika.utawapelekea hiyo barua ihalotel.Halotel watatoa printout ya mawasiliano watayaweka kwenye bahasha kama ushahidi na watapeleka police.kama utakuwa umefungua kesi hiyo bahasha ya ushahidi itapelekwa mahakamani kama ushahidi kwahyo sio kwamba watakupa wewe.
Sasa kwa hapo kuipata hiyo hela inabidi ujue jinsi ya kucheza karata zako vizuri usipoangalia hela zinaweza kuishia kwa maaskari kwani wao watajua ukweli kabla yako
 
Hebu twende taratibu! Hao jamaa shule kichwani ipo au ni wale unaoweza kuwadanganya kiboya boya tu na wakaamini?

Kwa kuangalia maelezo yako, hao Watuhumiwa wanonekana kama Mambwiga fulani hivi wasiojua chochote ndo maana ulipowatajia habari za polygraph, wakaogopa! Kama ndivyo, then fanya yafuatayo!

Mosi... hakuna cha polygraph wala nini lakini kv inaonesha wanaogopa hiyo kitu, basi nenda polisi kisha afande atakayekabidhiwa kesi impe stori mzima jinsi jamaa walivyokuwa wamechachawa waliposikia habari za polygraph, kisha mpange Afande mufanye polygraphing fake!

How to make it happen?!

Kuwe na polisi mmoja, fake polygrapher mmoja na doctor/fake doctor mmoja!!

Jamaa wanakuwa arrested halafu mmoja anaanza kuingizwa kwenye "chumba cha polygraph" ambacho kutakuwa na ONLY a police officer na huyo fake polygrapher.

Fake polygrapher ata-set mitambo yake tisha bwege, huku mrija mmoja ukifungwa kifuani kwa mtuhumiwa upande wa moyo, na hakikisha hiyo mirija mirija inakuwa connected kwenye kifaa cha umeme... anything like betri ya gari lakini ionekane more of power device.

Polygrapher fake akisha-connect hayo mamitambo (bila shaka hapo jamaa atakuwa kojo debe), atatulia as if kuna kitu anasubiri, kisha itokee mazungumzo kama yafuatayo:-

Police: Hey, mbona huendelei na hilo zoezi? Unajua kuna kesi zingine zinasubiri?"
Polygrapher: Sa Afande si unajua hatuwezi kufanya hili zoezi bila daktari kumpima mtuhumiwa mapigo ya mo..."
Police: Daktari daktari bhana, hebu anza kazi mara moja!

Polygrapher: Afande, hizi mashine za Kirusi ni tofauti na zile za KImarekani. Hii huwa inafanya synchronization (taja neno lolote gumu gumu) ya mapigo ya moyo kupitia mishipa mipana ya damu ya haemoglobini.

Police: Kwahiyo?

Polygrapher: Afande, kama hatujui uimara wa moyo wake, halafu ile synchronization kwenye mishipa ya damu ika-detect uongo kwenye maelezo yake, hapo hapo inaweza kutokea otorhinolaryngologism inayoweza kupasua mishipa ya damu ya kwenye pulomonari ateri.

Police: Toka... kama unaogopa nafanya mwenyewe.

Jomba, asipotaja zilizobaki zipo wapi, basi sio mimi!
Mkuu fik kituo chochote cha polisi kuanza kazi yako kama detective chief inspector
 
Kama wanatumia smart phone fanya kila uwezalo pata simu zao .Halafu nenda kwa Laptop au Desktop nunua Application ya ku-recover kila kilichofutwa kwenye cm zao. Kwa sasa sijajua inauzwaje ila mimi nilinunua kwa Dola 27 then utapata kila kitu kilichofanywa kupita cm hiyo tokea ck ya kwanza iliponunuliwa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom