MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Wakuu habari natumaini wazima
Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu.
1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje?
2.Kuna utofauti wowote wa kuchoma kuku hawa wa broiler na kienyeji?
3. Maandalizi kutoka kumchinja kuku hadi kumchoma ana matokeo yoyote hasi au chanya katika utamu wa nyama ya kuku?
4. Viungo gani hasa huwa vinatumika kumchoma kuku awe mtamu?
Ahsanteni sana natanguliza shukrani.