Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,104
- 34,060
Heri ya Krismasi Wadau wote,
Miaka ya hivi karibuni, sio kwenye vituo vya redio, mabango, sinema na hata kwenye mabasi Wengi wamekuwa wakizungumzia sana ubaya wa vyakula zaidi ya Uzuri wake.
Mathalan, utasikia Mtu anakuambia usinywe kabisa Kahawa ina sumu ya Caffein, usinywe chai kwasababu ina caffein, usile nyama ya Kuku wa kisasa, usitumie mayai ya Kuku wa kisasa.
Ukimuuliza huyo anayesema hivyo kuwa ulisomea wapi Nutrition? Hana jibu
Ukimuuliza kuwa mtu mwenye afya nzuri (Heathly person) anapaswa kupata caffeine kiasi gani kwa siku mwilini....hajui
Ukimuuliza umuhimu wa Caffeine mwilini....Hajui.
SWALI : Ni kwanini hawa wageni kutoka nchi zilizoendelea hasa USA na EUROPE wakija katika mazingira yetu wanatumia Kuku hawahawa broiler na ni walevi wa Kahawa kila siku lakini bado life span yao ipo juu zaidi yetu kabisaa?
NI HIVII:
BROILERS hawana matatizo kiasi kikubwa kama inavyoaminika kwa wengi (side effects)
Cha muhimu sana unapopata hawa kuku wa nyama basi ujue namna bora ya kuwaandaa au uandaliwe. Wengi wanaotumia na wataalamu wa Afya wanasisitiza utumie Boneless & Skinless chicken.
Yaani katika kumuandaa unamtoa manyoa, miguu na papatio na kisha unabakiwa na ile steki tu. Pia unaondoa ile ngozi ya juu kwani ngozi pamoja na mifupa ndiyo yenye madhara.
Njia nyingine, unaweza kumuandaa kwa kumchemsha kabisa kisha ukamwaga yale maji yote / supu ndipo umroast au umpike
Njia ya mwisho ni kwa kumwekea viungo tiba vinavyoweza kuondoa unneccesary fat na kuondoa uwezekano kupata cholestral au obesity kwa 100%. Viungo hivyo ni Tangawizi, Limao na Kitunguu saumu...BASI, hakikisha vinaiva na kuku.
Kuhusu vyakula anavyokula Kuku wa kisasa na wa kienyeji wa mjini ni kilekile either Mash au Pellets...hivyo utamkuta mtu anasifia kula kuku wa kienyeji ambaye pia alilishwa chakula cha kiwandani, alipata chanjo ya minyoo, gombolo, kideri na ndui, je huyo hana madhara?
Boneless & Skinless chickens are the best no matter ni Broiler au wa kienyeji.
Nakaribisha maswali ikiwa yapo.