Je, wajua haya kuhusu KFC?

Damaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
1,590
2,088
Habari za mchana wadau, nawasalimu wote naomba niletee Uzi huu mahususi kuhusu kampuni la utengenezaji Wa chakula linalojulikana Kama KFC au Kentucky Fried Chicken. Naomba niweke angalizo bandiko hili ni kwa ajili ya kuleta uelewa tu na sio kumshawishi mtu au kikundi fulani kutokwenda kupata huduma pale KFC. Baada ya hayo karibu sana.

Tunapozungumzia KFC wengi hudhani ndo jina lake lakini hiki ni kifupi cha maneno Kentucky fried chicken. Ni kampuni la kimataifa kwa maana linatoa huduma zake dunia nzima. Kuanzia Ulaya mpaka Afrika kwenda Asia mpaka Amerika ya Kusini pamoja na Kaskazini Bila ya kusahau Australia. Mahala ambapo panapatikana Huduma yoyote ya KFC basi huonekana kama mahala patakatifu hasa kwa wale ndugu zangu wanaopenda kula vyakula vitamu. Kwani masimulizi ya ubora na wepesi Wa huduma za vyakula Kama vile; Kuku, vimbazi, mikate pamoja na maonjo mbalimbali. Pamoja na sifa za wepesi Wa wafanyakazi wake. Kwa upande Wa Tanzania tumebahatika kupata vituo mbalimbali. Mfano kwa Dar es salaam kuna zaidi ya vituo vinne; KFC Mlimani city, KFC Mwenge, KFC Mikocheni, KFC Coco Beach pamoja na KFC Masaki.
images%20(97).jpeg
Baadhi ya Orders za KFC Dar es salaam.
View attachment 12593 Watu wakipata Vyakula vitamu.

Naomba niweke tena angalizo kuwa sijaweka bandiko hili kubadilisha azima ya mtu yoyote Bali ni kwa nia ya kujifunza tu na kuelewa ni vitu gani haswa vinaendelea ndani ya KFC.
Nimeweka mambo matano ya maana kuhusu KFC:

Namba 1: KFC wanafanya breeding ya kuku wao wenyewe. Lakini cha ajabu Kuku hawa wanafanyiwa breeding kwenye hali iliyo mbaya. Watu wengi wanaweza kukataa suala hili na kukaa upande wa KFC lakini ukweli ni kwamba hawa Jamaa wanafanya breeding wanayotaka wao ili kupelekea ushindani katika biashara.
Kwa kuelewa kuwa Wapo ndani ya ushindani huo, basi hata kuku hawa wanakosa kutunzwa katika mazingira mazuri. Katika mashamba yao ya kufugia kuku hawana utaratibu mzuri Wa matunzo ya kuku. Hii inathibitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Colonel Sander kuwa hawana muda Wa kuangalia afya wala maendeleo ya kuku wakati soko pamoja na hitaji la watu kuwa juu.
Lakini pia unajua kuwa kuku Wa KFC sio pure uhalisi kwa maana ya genetic zao sio kuku Kama yule kuku Wa kienyeji. Kwani huyu anakuzwa na dawa nyingi na anakuwa tayari kwa kupiga kisu ndani ya siku chache sana ukilinganisha na kuku Wa kienyeji. Kuku Wa KFC ni wenye nyama nyingi iliyonona sana lakini hawana virutubisho muhimu. Kwa zile restaurant za Asia hasa Japan wameweka angalizo kuwa usivunje mifupa.

Namba 2: Je Wajua Ulaji Wa Vyakula vya KFC mara kwa mara kunaweka kupelekea kuongezeka kwa unene na kuepelekea magonjwa yasioambukiza Kama Kisukari na Presha?
Ndio tumezoea kusikia kauli Kama Mwanaume anakula ugali Wa dona na Dagaa sio Mchanganyiko Wa Vimbazi na Mayai (Chips Mayai). Basi ndivyo kwa upande Wa vyakula vya KFC, kwani vyakula hivi ni vile vinavyokaangwa kwenye mafuta mengi. Mfano Chips pamoja na Nyama ya Kuku. Mtumiaji Wa mara kwa mara Wa vyakula hivi huweza kuona mabadiliko ya kiafya haswa katika kuongezeka kwa uzito. Na mbaya ni kwamba matumizi ya mafuta kwa kiasi kikubwa upelekea matatizo ya presha pamoja na nyama uzembe.
Hivyo basi Kama utakuwa ngumu kutokuacha kula vyakula hivi angalu upate kula kwa ratiba iliyo njema Kama mara 2 au 3 kwa mwezi.
Ukipata matatizo wala KFC haitohusika kwa namna yoyote ile ndugu yangu.

Namba 3: Je Wajua kuwa baadhi ya Vikorobezo au Mahitaji yanayotumika kwenye maandalizi ni hatari kwa afya ya binadamu?
Asante sana kwa mamlaka ya udhibiti Wa vyakula na madawa (TMDA) Zamani ilijulikana Kama (TFDA) mamlaka hii ndo inayohusika na kuangalia ubora Wa vyakula pamoja na madawa yanayoingia nchini kwa ushirikiano na TBS.
Ni kawaida kwa vitu mbalimbali kupimwa ubora wake kabla ya kuruhisiwa kutumika. Kuachilia mbali Nyama za Kuku pamoja na mafuta yanayotumiwa na KFC, kupitia mchakato Wa uchunguzi. Hatari ipo kwenye matumizi ya vimiminika na vitu katika maandalizi yao ya vyakula. Madaktari wengi nchini Marekani na Ulimwengu kwa ujumla hawashauri watu wawe wapenzi Wa vyakula hivi kwani kuna baadhi ya michanganyiko ya maltodextrin. Hii ni substance inayoweza kupelekea kisukari pamoja na kuongeza kiwango cha sukari kuwa juu endapo mtu atatumia sana vyakula hivi kwa wingi.
images%20(94).jpeg
Mfano Wa Chakula cha KFC.
Sambamba na hilo pia KFC wamekuwa wafuasi wakubwa Wa matumizi ya monosodium glutamate (MSG) Kwenye kuandaa mapishi yao. Ambayo hii upelekea matatizo ya ubongo, figo kushindwa kufanya kazi vyema pamoja na presha kupanda juu.

Namba 4: Je Wajua kuwa siri ya mapishi ya KFC imefungiwa sehemu na kulinda sana?
images%20(95).jpeg

Hii ni kitu cha kawaida kwa makapuni makubwa hasa yenye ushindani duniani. Mfano Coca Cola au PepsiCo ambao wote hawa wamehifadhi kwa siri sana kitu chenye kuleta utofauti kwenye bidhaa zao.
Kwa upande Wa KFC nadhan wengi hujiuliza ni kitu kipi haswa huwekwa ndani ya wale kuku au vile vimbazi?? Lakini ni watu wachache tu uelewa ni kitu gani haswa huwekwa kutia ladha ya kuku kuwa mtamu namna ile.
Hiki ni kitu nyeti sana kwa pande zote yaani Wateja pamoja na kampuni, kwani KFC hawawezi kuitoa siri hiyo kwa kuhofia makapuni pinzani kuiba soko lao. Ijapokuwa inadaiwa kuwa mchanganyiko huo as siri ni mchanganyiko Wa vitu kumi na moja wenye viungo na miti shamba kadha Wa kadha. Lakini bado tunabaki gizani.
Ile karatasi au hati yenye maandishi imetunzwa makao makuu ya KFC Kentucky Marekani kwa ulinzi Wa hali ya juu.

Namba 5: Watoto ndo wahanga wakubwa Wa Vyakula hivi.
Asikwambie mtu harufu nzuri sana ya Chicken Macaroon au Chicken Wings and Chips inaweza kumfanya mtoto apigane na wazazi wake. (Hii ni kwa marekani sio bongo).
1402671064000-wilcher.jpeg

Kwa utafiti uliofanywa na jarida la Health Care la Nchini Marekani lililionesha kuwa watoto wanaoishi kwenye nchi zilizoendela hasa hasa Marekani pamoja na Canada wamekuwa ndo wahanga wakubwa hasa hasa kwenye tatizo la Uzito mkubwa na unene wa kupindukia, pamoja na Sukari.
Kwa wazazi ambao watoto wao walipata kadhia hiyo walipatia jina la utani KFC kuwa ni kituo cha Kununulia Unene. Hii inasabishwa na ile hali ya mtoto kuwa anakula vyakula hivi kwa wingi na kama unavyojua familia zenye wazazi walio busy muda wote, malezi yanakuwa kwa uchache sana.

Naomba niishie hapa wakuu. Ila nisameheni sana kwa wale niliowakwaza kwa namna moja au nyingine.
Knowledge Pursuit Without Limit....
Jamii Forums where we dare to speak.....
Karibu sana kwa mchango na maswali tujadili kwa hoja na ustarabu.
 
Attachments

  • images%20(96).jpeg
    images%20(96).jpeg
    65.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_2019-11-10-12-04-30.jpeg
    Screenshot_2019-11-10-12-04-30.jpeg
    40 KB · Views: 33
Habari za mchana wadau, nawasalimu wote naomba niletee Uzi huu mahususi kuhusu kampuni la utengenezaji Wa chakula linalojulikana Kama KFC au Kentucky Fried Chicken. Naomba niweke angalizo bandiko hili ni kwa ajili ya kuleta uelewa tu na sio kumshawishi mtu au kikundi fulani kutokwenda kupata huduma pale KFC. Baada ya hayo karibu sana.

Tunapozungumzia KFC wengi hudhani ndo jina lake lakini hiki ni kifupi cha maneno Kentucky fried chicken. Ni kampuni la kimataifa kwa maana linatoa huduma zake dunia nzima. Kuanzia Ulaya mpaka Afrika kwenda Asia mpaka Amerika ya Kusini pamoja na Kaskazini Bila ya kusahau Australia. Mahala ambapo panapatikana Huduma yoyote ya KFC basi huonekana kama mahala patakatifu hasa kwa wale ndugu zangu wanaopenda kula vyakula vitamu. Kwani masimulizi ya ubora na wepesi Wa huduma za vyakula Kama vile; Kuku, vimbazi, mikate pamoja na maonjo mbalimbali. Pamoja na sifa za wepesi Wa wafanyakazi wake. Kwa upande Wa Tanzania tumebahatika kupata vituo mbalimbali. Mfano kwa Dar es salaam kuna zaidi ya vituo vinne; KFC Mlimani city, KFC Mwenge, KFC Mikocheni, KFC Coco Beach pamoja na KFC Masaki.
View attachment 1259359 Baadhi ya Orders za KFC Dar es salaam.

View attachment 1259365 Mfano Wa Chakula cha KFC.
Sambamba na hilo pia KFC wamekuwa wafuasi wakubwa Wa matumizi ya monosodium glutamate (MSG) Kwenye kuandaa mapishi yao. Ambayo hii upelekea matatizo ya ubongo, figo kushindwa kufanya kazi vyema pamoja na presha kupanda juu.

Namba 4: Je Wajua kuwa siri ya mapishi ya KFC imefungiwa sehemu na kulinda sana?
View attachment 1259364

Hii ni kitu cha kawaida kwa makapuni makubwa hasa yenye ushindani duniani. Mfano Coca Cola au PepsiCo ambao wote hawa wamehifadhi kwa siri sana kitu chenye kuleta utofauti kwenye bidhaa zao.
Kwa upande Wa KFC nadhan wengi hujiuliza ni kitu kipi haswa huwekwa ndani ya wale kuku au vile vimbazi?? Lakini ni watu wachache tu uelewa ni kitu gani haswa huwekwa kutia ladha ya kuku kuwa mtamu namna ile.
Hiki ni kitu nyeti sana kwa pande zote yaani Wateja pamoja na kampuni, kwani KFC hawawezi kuitoa siri hiyo kwa kuhofia makapuni pinzani kuiba soko lao. Ijapokuwa inadaiwa kuwa mchanganyiko huo as siri ni mchanganyiko Wa vitu kumi na moja wenye viungo na miti shamba kadha Wa kadha. Lakini bado tunabaki gizani.
Ile karatasi au hati yenye maandishi imetunzwa makao makuu ya KFC Kentucky Marekani kwa ulinzi Wa hali ya juu.

Namba 5: Watoto ndo wahanga wakubwa Wa Vyakula hivi.
Asikwambie mtu harufu nzuri sana ya Chicken Macaroon au Chicken Wings and Chips inaweza kumfanya mtoto apigane na wazazi wake. (Hii ni kwa marekani sio bongo).
View attachment 1259362
Kwa utafiti uliofanywa na jarida la Health Care la Nchini Marekani lililionesha kuwa watoto wanaoishi kwenye nchi zilizoendela hasa hasa Marekani pamoja na Canada wamekuwa ndo wahanga wakubwa hasa hasa kwenye tatizo la Uzito mkubwa na unene wa kupindukia, pamoja na Sukari.
Kwa wazazi ambao watoto wao walipata kadhia hiyo walipatia jina la utani KFC kuwa ni kituo cha Kununulia Unene. Hii inasabishwa na ile hali ya mtoto kuwa anakula vyakula hivi kwa wingi na kama unavyojua familia zenye wazazi walio busy muda wote, malezi yanakuwa kwa uchache sana.

Naomba niishie hapa wakuu. Ila nisameheni sana kwa wale niliowakwaza kwa namna moja au nyingine.
Knowledge Pursuit Without Limit....
Jamii Forums where we dare to speak.....
Karibu sana kwa mchango na maswali tujadili kwa hoja na ustarabu.
Sina muda wa kusoma maelezo yote hayo. Nenda gugo
 
Mkuu hii hali inawatafuna hao "mabebeberu wanaotuonea wivu kwa utajiri wetu!!
Hizo KFC centers ziko nne tu na wanaoenda pale wengi ni wageni na "mafisadi" sie huku tunakula mihogo na vitumbua na hata chips za kibongo kuzila mpka tuwe na michepuko yetu!! Huu uzi ungeupeleka masaki mkuu!!

Haa
Shukrani Sana Kwa Bandiko Zuri Nimesoma Lote!!!!
Nimemkumbuka Jamaa Wa Yanga Ilipofungwa Na Pyramid
"Hatukuandikiwa Barua Kuishabikia Yanga, Tumeipenda Wenyewe, Acha Ituue "

Vyakula Vya Maeneo Hayo Ni Shida Sana Ndugu Yangu
Watu Wanatoka Macho
Karibu sana mkuu tafuta hata buku 6 ukachukue Chicken Wings mzee
 
Mkuu hii hali inawatafuna hao "mabebeberu wanaotuonea wivu kwa utajiri wetu!!
Hizo KFC centers ziko nne tu na wanaoenda pale wengi ni wageni na "mafisadi" sie huku tunakula mihogo na vitumbua na hata chips za kibongo kuzila mpka tuwe na michepuko yetu!! Huu uzi ungeupekeka masaki mkuu!!
Hata wabongo wanaingia mzee sio wote wageni mkuu uliza mlimani city hapo raia wanapiga Chicken Breast balaa
 
KFC hovyo kabisa sehemu nzuri za kula ni Popeyes,Nando's na Subway
Niliwahi kula Subway lakini still ile Chicken Breasts nne za KFC zimenifunga macho kabsa...
Kwa Subway wale pale Mlimani City kikubwa hawana good Customer Service...
 
Kuna Moja Ipo Kariakoo Kituo Zamani Cha Bahkresa
Haa Kuna Jamaa Alinunua Tukala Miaka 3 Imepita Muda Huu Ndiyo Nasoma Bandiko Lako Natafakari
Chakula Kilikuwa Safi Sana Ila Sasa Engine Inakufa Yaani Moyo Unatanuka
Bac chukua chips zako pamoja na Pepsi tu
 
Mkuu umeeleweka , aliye na sikio na asikie

Back
Top Bottom