nanawoo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 1,268
- 1,215
Na muamar gadafi pia alikua field masha africa walikua wawili tu hao asia ni saddam hisein na yasir araphat cuba fidel castrol kiduku na yeye inasemekaba kua ni field masha sina uhakika na america sijui kama wapoRank ya juu kimafunzo ya kijesh ni field marshal. Hawa ndugu yangu ndo wale wanaitwa beyond the human ability. Yaan zaid ya uwezo wa kibinadamu ....but kwa Africa hii nipo mim tu na IDD amin wa Uganda ...sema huyu jamaa alijipa hik cheo