Naomba kujuzwa, ile picha inayoonekana pale mwezini ni nini!!

170b9d11c9cdf6676eb18eff4f19f64c.jpg


Look at these shades , they are just maintains shades
 
Mkuu mi nakushauri utafute jiko ili uachane na upweke unaopelekea kuona mwanamke na mtoto kwenye mwezi
 
Cha arusha iko braza.... unatumia darubin ama... hivi umbalI wa mwezi uione picha ya mama... mtoto... na mzigo wa kuni.. teena kakaa... afu daily.. jf kuna mambo saana

.acha kaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom