Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,685
- 29,008
ni ugumu wa maisha mkuu kura yako 2020 itumie vizuri sana kumuondoa mkolon mweus. Chezeya kiporo cha kande iliyochacha weyer lazima uone mauzauza mwezin na kuwatakia wanajamvi heri ya krismas leoWakuu poleni na majukumu na harakati za hapa kasi tuu!!ni mda mrefu kidogo sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi!!vilevile niwatakie heri ya chrissmass na mwaka mpya! Namshukuru mungu nimerudi salama huko nilipoluwa!!katika pitapita zangu nimeulizwa hili swali nikashindwa kujibu maana mimi sio mtaalam wa hizi sayansi!!hivi ukitizama mwezi kwa makini pale kama kuna picha ya mtu anaonekana!!na ukitizama kwa haraka haraka unaweza ona kama kuna mtu kabeba mtoto mgongoni na kichwani kabeba mzigo wa kuni mara myingine hua kama kakaa anasukuma kitu kama wale wanawake wa kizamani wanasaga mahindi kwenye jiwe au mmara inaonekana kama **** mwanamke anatembea je!!!kuna ukweli wowote kwenye kuwa kunanpicha au ni mtizamo wangu wa kifikra!!naomba wataalam wanafafanulie hilo!!