pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,381
- 4,767
830,000-950,000(GSM arena)
Zoom Tanzania.
1,300,000
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
Bei kubwa mno
Halafu ina Helio G95, soc ambayo haitofautiani sana na redmi note 8 pro simu ya mwaka juzi.Bei kubwa mno
Camera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.Seriously Tecno make bei 1.3M, bora ununue Samsung au Xiaomi ya 500k inayobaki peleka charity
Halafu ina Helio G95, soc ambayo haitofautiani sana na redmi note 8 pro simu ya mwaka juzi.
Wajinga waliwao.
Sorry kwa kutoka nje ya mada ndugu, ivi hizi Samsung series kati yaCamera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.
Tatizo la Tecno wanalipua, huwezi ukaweka flagship camera na soc ya kijinga kama Helio G95, hii soc ni midrange haina akili (isp) ya kurun hio camera.
Pia camera haina vikorombwezo vingine vya kuifanya iwe nzuri zaidi kama flagship nyengine. Mfano haina OIS, haina slow MO, optical zoom na tech zifananiazo etc. Hivyo wametumia tu sensor nzuri ila result za kawaida.
Review yake ipo gsmarena unaweza kuisoma
Tecno Phantom X review
Tecno is one of the brands that the Chinese phone manufacturer Transsion is using for its oversee markets - and most prominently, in Africa. The...m.gsmarena.com
Page ya review ya camera
Tecno Phantom X review
The main 50MP camera is the Phantom X's crown jewel. We've reviewed this Samsung S5KGN1 imager before in the much more expensive vivo X60 Pro+. It's one...m.gsmarena.com
Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula mojaSorry kwa kutoka nje ya mada ndugu, ivi hizi Samsung series kati ya
A
J
M
S
Note
Ipi ni bora zaidi na yenye betri inayofaa kwa sisi masikini?
M series zipo Tz hii ninayotumia ni M11 ya mwishoni mwa 2020 nilinunua ArushaKitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance
Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.
S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.
J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.
A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.
M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.
Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.
Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.
Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.
Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
Zipo lakini sio official, na simu ikiwa haipo officialM series zipo Tz hii ninayotumia ni M11 ya mwishoni mwa 2020 nilinunua Arusha
Asante ndugu. Kwa budget ya around 800k ipi inanifaa?Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance
Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.
S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.
J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.
A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.
M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.
Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.
Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.
Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.
Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
Kwa simu ya haraka haraka ni samsung Galaxy A52 all around ni simu nzuri 750K mpaka 800k.Asante ndugu. Kwa budget ya around 800k ipi inanifaa?
Vipi kuhusu Nokia nampango wa kuagiza mzigo mkubwa zipo vzurKwa simu ya haraka haraka ni samsung Galaxy A52 all around ni simu nzuri 750K mpaka 800k.
Ila kama una mpango wa kuagizishia nje M52 ni nzuri zaidi. Hii inatoka muda si mrefu,
Mkuu Nokia hazipo vizuri nyingi, baadhi chache zipo OK hasa lowend, na hizo unazikuta tayari zipo zinauzwa bei nafuu Na Kina Tigo na Zantel.Vipi kuhusu Nokia nampango wa kuagiza mzigo mkubwa zipo vzur
Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance
Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.
S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.
J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.
A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.
M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.
Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.
Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.
Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.
Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
Natafuta kioo cha Samsung note 8 duos
Alienacho aniuzie
Cha simu yangu kimegoma
Walicho fanya tecno ni kuongeza gharama simu zao ili kuzipa thamani wakati quality ni ya chini. Wanaona ngozi nyeusi wanashoboka na bei.Halafu ina Helio G95, soc ambayo haitofautiani sana na redmi note 8 pro simu ya mwaka juzi.
Wajinga waliwao.