Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,711
- 39,791
notebookcheck ni nzuri sana mkuu sema imebase sana kwenye namba na benchmarks, tumia hio ama gsmarena.Shukrani sana mkuu,naomba nipe website moja maarufu ya review.
notebookcheck ni nzuri sana mkuu sema imebase sana kwenye namba na benchmarks, tumia hio ama gsmarena.Shukrani sana mkuu,naomba nipe website moja maarufu ya review.
Nafurahia sana kusoma maandiko yako. Kuna wakati unanifanya nijione nimechelewa sana kukufatilia kwenye mambo haya ya technologyNjia rahisi mkuu ni kufuatilia habari za vitu vinapotokea.
Mfano.
1. Sony walitangaza sensor yao mpya ya 50MP ambayo itatumika kwenye flagship, hivyo unaanza kuona simu kibao zinatumia.
2. Samsung Wana display mpya za LTPO Amoled simu zote mpya za kisasa zinatumia,
3.umoja wa usb umetangaza usb type C itapitisha umeme hadi watts 240
4. Samsung katangaza ram za lpddr5
5. Storage Mpya za ufs 3.1 etc.
Hivyo unapo kuwa na habari za vitu vinapotokea wewe Uta judge sasa kama hii simu imepack feature zote za kisasa?
Mfano hii phantom X, ina flagship camera 50mp, ina maana imetick kwenye camera lakini soc sio flagship material, haina ddr5, fast charging ya kawaida, haina ltpo display etc.
Na njia nyengine ni kuangalia reviews online, toka website maarufu.
Mkuu compact ni nini?Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance
Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.
S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.
J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.
A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.
M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.
Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.
Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.
Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.
Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
Kitu kidogo ambacho sio kinene,Mkuu compact ni nini?
Shukrani mkuu,kwa hiyo zile motherboards za size kubwa ya ATX siyo nzuri?Kitu kidogo ambacho sio kinene,
Ni nzuri mkuu, kama una nafasi ni vyema ukawa na Motherboard na desktop kubwa Sababu fomular inaendelea, desktop kubwa utaweka gpu yoyote ile, ram slot 4, hdd za kutosha, cooler ya cpu nzuri etc.Shukrani mkuu,kwa hiyo zile motherboards za size kubwa ya ATX siyo nzuri?
Mkuu hizi m za hapa haZuna ubora au maana naZiona madukaniKitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance
Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.
S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.
J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.
A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.
M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.
Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.
Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.
Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.
Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
inategemea sasa ni M ipi na inauzwa kiasi gani. kama nilivyosema huko juu sababu M hazipo officially Tanzania bei yake inakuwa ghali.Mkuu hizi m za hapa haZuna ubora au maana naZiona madukani
Dukani havipo?Natafuta kioo cha Samsung note 8 duos
Alienacho aniuzie
Cha simu yangu kimegoma
Mfano m71inategemea sasa ni M ipi na inauzwa kiasi gani. kama nilivyosema huko juu sababu M hazipo officially Tanzania bei yake inakuwa ghali.
Kwa kiasi gani?Mfano m71
Kaka ile refurbished samsung note 9 charger yake imeanza mawenge mpaka sasa ile adapter yake haichajishi na cable yake iliyokuja nayo ambayo ni ya samsungKwa kiasi gani?
Hapa naona charge ni siku 2Kwa simu ya haraka haraka ni samsung Galaxy A52 all around ni simu nzuri 750K mpaka 800k.
Ila kama una mpango wa kuagizishia nje M52 ni nzuri zaidi. Hii inatoka muda si mrefu,
Hio Adapter kuna uwezekano ni kimeo, si rahisi kwa Refurb wakueekee Adapter OG.Kaka ile refurbished samsung note 9 charger yake imeanza mawenge mpaka sasa ile adapter yake haichajishi na cable yake iliyokuja nayo ambayo ni ya samsung
Ilianza kma week 2 za nyuma kusumbua, yaani mpaka uchezee sana pale inapoingia cable kwnye tundu adapter
Kuna muda inaandika fast charging na kuna muda iliandika cable charging
Na fast charging ilikuwa inajaza kwa lisaa 1 na dk 50 kutokea asilimia 5
Cable charging ilijaza kwa masaa 2 na 20dk kutokea asilimia 5
Sasa sasa hvi ile cable ukitumia kwenye hyo adapter haicharge kabisa
Ila ukibadilisha adapter ukitumia hyo hyo cable inacharge simu kwa cable charging
Na vile vile hyo adapter nayo ukichomeka cable nyingine inacharge simu kwa cable charging
Ila ukirudisha waya wa samsung kwnye hyo adapter haicharge kabisa
Sasa hapo tatizo nimeshindwa kkulijua msaadaView attachment 1854437
OkayHio Adapter kuna uwezekano ni kimeo, si rahisi kwa Refurb wakueekee Adapter OG.
Pia huku kwetu kupata Fast charging ni kazi sana. Kama Unapata muda agizishia Aliexpress.
1 milionKwa kiasi gani?
Mkuu pd ni kifupi cha power delivery hii ni universal technology inasupport simu zote.Okay
By specifications hii simu imeandikwa inasupport 15w
Je nikichukua adapter ya 18w ama 25w
Itafaa??
Halafu pia hzi pd usb charger ni kwa simu zipi??
Na ipi nzuri ukilinganisha na qc 3.0 ama 4.0??
M71 nimejaribu ku google haipo hii simu, ama ni M51?1 milion
Kununua Tecno ya laki 8 Bora ninunue iPhone 6 plainWabongo ukiwaambia tecno na infinix kwa material na specifications wanazotumia na kwa bei wanazouza ni Ghali mno hawakuelewi wao wanakwambia kulinganisha na Samsung au iPhone ni cheap bila kujua kuwa hizo simu ni value for money ukilinganisha na hizo famba
Kweli wajinga ndio waliwao
Kabisa mfano hyo phantom X mil 1.3 ilhali Ina 12nm processorKununua Tecno ya laki 8 Bora ninunue iPhone 6 plain