Naomba kujuzwa bei ya Phantom X

Naomba kujuzwa bei ya Phantom X

Hio bei ni fake, hizo website ni bots tu za computer zinaguess bei.

Nigeria ni Naira 250k ambayo ni around 1.4m

Kenya ni Ksh 50k ambayo ni around 1.1m

Na Tanzania imewekwa link ya 1.3m huko juu.

Hivyo mkuu unapigwa Helio G95 kwa zaidi ya 1m,
 
Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance

Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.

S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.

J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.

A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.

M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.

Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.

Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.

Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.

Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
Kaka mimi ubora wa simu huwa naupima kwa kuangalia:

1.Ukubwa wa RAM

2.Ukubwa wa Processor

3.Ukubwa wa Camera

4.Ukubwa wa battery

5.Aina na level ya operating system

Mambo mengine ya kuangalia/kuzingatia ni yapi mkuu?
 
Mambo ni mengi sana Mkuu, ila simu si kama pc, jambo muhimu kabisa la kuangalia ni soc (system on chip) hii ina include vitu kama processor, gpu, aina za ram, modem ya internet, processor ya camera, Bluetooth, wifi etc. Vitu vyote hivi vinakuwa kwenye package moja.

Mfano simu mbili zina snapdragon 865 basi ni lazima zote ziwe na processor moja, gpu moja, ram za Aina moja, wifi aina moja, modem aina moja etc.

Kama soc ni nzuri automatic Ita affect
-ukaaji chaji, soc efficient itakaa na chaji sana hata kama battery ni dogo.
-camera nzuri, Kuna simu za kichina hazina camera nzuri ila sababu zina soc nzuri unaweka Gcam na inaongeza ubora wa picha.
-speed ya storage
-resolution ya Display
-fast charging
-idadi ya network band etc.

Hivyo kwangu mimi soc kwanza, soc ikishakuwa nzuri ndio na Angalia camera, display na mambo mengine
 
Sasa mkuu soc ina version?Labda tuseme mwaka huu simu fulani ila soc version ya 685 au 500?Yaani namaanisha njia rahisi ya kujua soc ya simu ni ipi?Nikitaka kujua soc ya simu ni ipi naangalia nini/wapi?
 
Ndio Mkuu zina version, kama kwa pc kulivyo na Intel kwa simu mtengeneza Soc mkubwa ni Qualcomm, yeye ana series hizi.
800 series - hizi ni kama core i7 ama i9 ndio top soc ambazo zinatumika kwenye simu Highend nazo kila mwaka inatoka mpya, mwaka huu ni snapdragon 888, mwaka jana snapdragon 865, mwaka juzi sd 855, uliopita wake sd 854 etc.
700 series - hii ni upper midrange
600 series - hii ni midrange
400 series - low end mpaka midrange
200 series - low end kabisa na feature phone.

Pia wapo manufacture wengine wa soc kama exynos za Samsung, mediatek, unisoc, rockchip, etc.
 
Shukrani mkuu.Tubakie hapahapa kwa snapdragon.Kwa hiyo mkuu sokoni huko sasa hivi kuna simu kadhaa ambazo zina SoC ya series 700,simu nyingine zina SoC ya series 600,nyingine zina series ya 400 na nyingine zina series 200?Namaanisha kwa sasa hivi bado kuna viwanda kwa mfano vinatengeneza simu yenye SoC ya snapdragon 200 au 400?
 
Vp kuhusu Mediatech nitajuaje hii version zuri?

Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
 
Ndio Sema manufacturing process yake inakuwa si ya kisasa, soc za 200 series hupati ya kisasa kabisa na kwenye 400 series ipo moja ya kisasa inaitwa snapdragon 480G hii ina 5g na tech za kisasa, ni nzuri kuliko series za 600 na 700 zenye 4g, ila inaitwa na soc zote za 600 na 700 zenye 5G.
 
Mediatek nzuri zinaanziwa na sub brand ya dimensity.

Kuna dimensity 700 series ambayo ni lowend mpaka dimensity 1200.

Mfano Galaxy A22 5G inatumia dimensity 700 ambayo ni bottom of the line. Na utaikuta simu kama Poco F3 GT yenye dimensity 1200 ambayo ni top of the line.
 
Ndio Sema manufacturing process yake inakuwa si ya kisasa, soc za 200 series hupati ya kisasa kabisa na kwenye 400 series ipo moja ya kisasa inaitwa snapdragon 480G hii ina 5g na tech za kisasa, ni nzuri kuliko series za 600 na 700 zenye 4g, ila inaitwa na soc zote za 600 na 700 zenye 5G.
Shukrani kaka.Hivi simu za makampuni tofauti kama vile Sony,LG,Nokia,Xaiomi,Sumsung na kadhalika ila zote zina SoC ya snapdragon 855 zinakuwa zina sifa sawa kama vile ukubwa na ubora wa CPU,GPU,bluethoot,wifi,camera,kioo na kadhalika?Kama kunakuwa na tofauti kunakuwa na tofauti katika nini?
 
Ndio Mkuu simu zote zikiwa na snapdragon 855 hata kama zinatoka LG, Samsung, xiaomi etc zitakuwa na wifi, cpu, GPU sawa. Ila

-japo akili ya camera ni moja sensor zinatofautiana
-display si part ya soc nayo hutofautiana
-baadhi ya simu wanaweka cooling nzuri unakuta Kuna chamber ya maana yenye heat pipes za kupozea simu, hivyo simu inayopoza vizuri itaperform vizuri
-pia kwenye modem Wana Tabia ya ku block bands, hasa simu wanazouza marekani na nchi kubwa duniani ili zisitumike huku kwetu.

Kuelewa zaidi hii ni comparison ya simu gsmarena zote zina snapdragon 855.

Mkuu kwa hapa ni kwamba samsung ana SoC mbili ambazo ni Exynos 9820 pamoja na snapdragon 855?Hapo kwa LG G8 ThinQ ni nini tofauti kati ya Qualcomm SM8150 na snapdragon 855?Hiyo 7 nm ni nini?

109_20210711_161033.jpg
 
Simu mbona ina bei Sawa na OnePlus 9r inayotumia soc ya Snapdragon 870 5g?

Tecno wangeweka walau dimensity 1200
 
Mkuu kwa hapa ni kwamba samsung ana SoC mbili ambazo ni Exynos 9820 pamoja na snapdragon 855?Hapo kwa LG G8 ThinQ ni nini tofauti kati ya Qualcomm SM8150 na snapdragon 855?Hiyo 7 nm ni nini?

View attachment 1849674
Ndio hio Sm8150 ni code ya sd 855, kunakuwa na codename zao wenyewe na jina rahisi ambalo sisi tu naweza kulikariri.

Kuhusu samsung huwa anachanganya kila mwaka snapdragon na exynos, sababu exynos ni soc yake anajipa Tenda.

Na 7nm ni manufacturing process aka ukubwa wa transistor.

Kama umewahi kusikia processor zinavyotengenezwa wanatumia mchanga baadae wanatengeneza lisinia kubwa la silicon (wafer) Kisha wanakata vipande vipande vinaitwa Die halafu kwenye hio die Kuna vitu vidogo vidogo sana vinaitwa transistor.

Jinsi transistor zinavyokuwa ndogo ndio jinsi unavyoweza kuziweka nyingi kwenye die.

Picha ya wafer
Silicon%2520wafer%2520market%2520main.jpg

Picha ya die
220px-PXE.jpg

Picha ya transistor ukizoom die
zoom-in-on-a-microchip-computer-chip-672x371.jpg

NM milioni 1 ni sawa na milimita moja, hivyo mtu akisema sd 855 ni 7nm anamaanisha kwenye urefu wa milimita 1 Kuna transistor zaidi ya laki 1. Manufacturing process za kisasa sasa hivi ni 5nm ina maana Kuna transistor laki 2 kila milimita 1. (hii ni theory tu naandika kuelewa kirahisi ila in reality Kuna marketing Gimmicks nyingi sana kwenye ku count NM, mfano 10nm ya Intel ina transistor nyingi kuliko 7nm ya Samsung ama TSMC)

Hivyo mkuu kiufupi ndo hivyo, jinsi nm inavyo kuwa ndogo ndio jinsi watu wanavyoweza kuweka transistor nyingi na die size zinapungua na ulaji chaji pia unapungua.
 
Shukrani mkuu.Nimegundua kuwa kwa simu mbili ambazo zina SoC moja bado zinakuwa zinatofautiana vitu vingi sana.Je,kuna njia rahisi ya kugundua ubora wa ziada wa simu ukishajua SoC yake?Namaanisha kuwa nikishajua SoC ya simu sasa nataka nijue vitu vya ziada ambavyo hiyo simu inavyo,je kuna njia rahisi ya kuvijua/kuvitrack?
 
Njia rahisi mkuu ni kufuatilia habari za vitu vinapotokea.
Mfano.
1. Sony walitangaza sensor yao mpya ya 50MP ambayo itatumika kwenye flagship, hivyo unaanza kuona simu kibao zinatumia.

2. Samsung Wana display mpya za LTPO Amoled simu zote mpya za kisasa zinatumia,

3.umoja wa usb umetangaza usb type C itapitisha umeme hadi watts 240

4. Samsung katangaza ram za lpddr5

5. Storage Mpya za ufs 3.1 etc.

Hivyo unapo kuwa na habari za vitu vinapotokea wewe Uta judge sasa kama hii simu imepack feature zote za kisasa?

Mfano hii phantom X, ina flagship camera 50mp, ina maana imetick kwenye camera lakini soc sio flagship material, haina ddr5, fast charging ya kawaida, haina ltpo display etc.

Na njia nyengine ni kuangalia reviews online, toka website maarufu.
 
Shukrani sana mkuu,naomba nipe website moja maarufu ya review.
 
Back
Top Bottom