Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,844
- 13,104
Hili sio jukwaa husika,huku tuko busy na mbususu.Nipe ukweli..!!!
#YNWA
Huku ni mahaba tu mzee
Hahahaaa.. kapotea njiaHili sio jukwaa husika,huku tuko busy na mbususu.
Hiyo in grossEntry level degree ni 1.6M
Niliwaza sanaa.Hiyo in gross
Unamjua Liverpool VPN Mzee wa "USIOE USIOE"?Huku njoo baada ya kupata kazi BRELA. Utashauriwa wapi na jinsi gani ya kutumia mshahara wako. Pengine ukapata hata wa kutumia nao.
Tofauti na hapo utaambulia majibu ya shombo tu kwa sasa. Huku lete mada za kufumaniwa, kufinyiwa ndani, style mpya ya kunyanduana n.k
Jinsi tukiwapigia wanaongea kwa hasira vile watakua wanalipwa pesa ndogo.Wajumbe salama?
Nimekua nikitafuta Taarifa juu ya MISHAHARA ya BRELA.
Katika kutafuta kwangu nikasoma sehemu kwamba BRELA kwenye mishahara wanafanana na Halmashauri...!!!
Kwa entry level ya Bachelor ya 3 Yrs...
1. Registration Officer II
2. License Officer II
3. Legal Officer II
Mshahara = BRS 6.1 (BRELA) = TGS D.1 (Halmashauri) = Basic Salary = 750,000/=
1. Kuna ukweli wowote kwamba zile BRS level ni sawa na TGS levels?
2. Kama ni uongo, Je ukweli ni upi?
#YNWA
🤣🤣🤣🤣Jinsi tukiwapigia wanaongea kwa hasira vile watakua wanalipwa pesa ndogo.
Nyie MNAPENDA kula mbunye tuuu...Uwanja wa mahusiano hatupendi vurugu
Humu ni story za kunyanduana tu.Uwanja wa mahusiano hatupendi vurugu