Bhoyi stanford
Member
- Aug 29, 2016
- 9
- 3
Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?Gari nilizoona Zina CVT ni mostly new models japo sio zote kama Toyota RACTIS, IST NEW MODEL
Japo Kuna aina 5 za transmission
1. Manual Transmission (MT)
2.Automated Manual Transmission (AM)
3.Continuously Variable Transmission (CVT)
4.Semi Automatic Transmission
5. Automatic Transmission
Maono ya wazalishaj wa magari na kufanya vzur sokon kwa transmission nyingine sokon zaid ya manual, kunapelekea mahitaj ya AT au CVT kua juu sokon.Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Gari zenye CC 1500 zimebakia kwenye rally Tu. Manufacturer wanatengeneza manual transmission kwenye hayo magariKwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Sidhan naomba nitofautiane na wewe mkuu. Europe na hizi brand zingine wanatoa sana tu sema toyota kwa vile ndio katushika inabid tu twende nae. Peugeot, Renault volvo honda anatoa sana ila ndio mtu unaogopa kupata tabu ya speaGari zenye CC 1500 zimebakia kwenye rally Tu. Manufacturer wanatengeneza manual transmission kwenye hayo magari
PureView yuko sawa kwenye hili. Gari manual zinapotea sokoni. Enzi hizo Automatic Transmtn zilikuwa option, ila kwa manufacturer wengi siku hizi ndio standard. Manual ni option. Wengine kama Mercs wamedrop kabisa manual transmtn kwenye baadhi ya models.Sidhan naomba nitofautiane na wewe mkuu. Europe na hizi brand zingine wanatoa sana tu sema toyota kwa vile ndio katushika inabid tu twende nae. Peugeot, Renault volvo honda anatoa sana ila ndio mtu unaogopa kupata tabu ya spea
Kuna engine ya CVT au umemaanisha gearbox ya CVT?Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Za kazi gani sasa? Technology imekuwa gari ina control power transmission yenyewe, wewe unataka kuingilia huo mchakato, why my niga, why?Kwa nn siku hiz gar za manual new model za cc 1500 kushuka china adimu sana.?
Mkuu mimi si mtaalamu sana ila toka nimemiliki gari yenye gearbox ya CVT nimejitahidi kwa kadiri ninavyoweza nipate kuzielewa maana hizi gearbox zina matatizo mengi na gharama kuzimantain, ila ni cheap kwa manufacturer na kutokana na sheria kuwataka waongeze mileage per gallon use, CVT ina achieve hilo kwa kaisi cha 6-7% per galon.Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
Kwa utafiti wangu mdogo magari mengi ya AT ni kutokea Japan na yaliyotengenezwa kwa soko la Japan.Maono ya wazalishaj wa magari na kufanya vzur sokon kwa transmission nyingine sokon zaid ya manual, kunapelekea mahitaj ya AT au CVT kua juu sokon.