Usilinganishe telegram na vitu vya kitoto. Whatsap no uchafu kwa telegramWakuu teregrem na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid TEREGRAM ،mkujeni mnijibu
Whatsapp ilipata umaarufu mapema zaidi kuliko telegramWakuu teregrem na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid TEREGRAM ،mkujeni mnijibu
Hakuna ulichojibu Zaid umejimwambafai tuuUsilinganishe telegram na vitu vya kitoto. Whatsap no uchafu kwa telegram
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nimekusomaIshu ni kwenye data usege !Telegram inakula Sana MB ,WhatsApp unaweza kulimit data.
Thanks nimekupata
Yuko sahihi na sio kujimwambafai.Hakuna ulichojibu Zaid umejimwambafai tuu
Nenda bank lipia ef10 watakupa ile deposited slip ambayo utaonyesha huko telegram unapotaka kujiunga
Wakuu teregrem na WhatsApp kwangu naona ni mitandao inayofanana katika option mbalimbali je iweje WhatsApp ifahamike na iwe na watumiaji wengi kuzid TEREGRAM ،mkujeni mnijibu
WhatsApp ni rahisi kudukuliwa Telegram no
WhatsApp ila limitations kwenye ma group.. Si zaidi ya 256 users .. Telegram inapiga mpaka laki moja bila shaka
WhatsApp kwenye ma group unaweza kutoka/ukatolewa na kurudi ama kurudishwa baada ya muda.. Telegram hawana hiyo.. Ukitoka umetoka
WhatsApp uki left unaonekana kwa wengine ume left.. Telegram hakuna hiyo kitu ni kimyakimya
WhatsApp ukijiunga leo kwenye group huwezi pata past history.. Telegram unapata kila kitu tangu day one
Etc... Na kazalika
Jr![]()
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Na kazalika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][
Jr
Embu nitumie nionePia telegram naweza kukutumia picha ya nono yangu lakini nikaset uione kwa sec 2 then itajifuta yenyewe automatic halafu wewe uko ukijarubu hata kuscreenshot inakugomea.
Pia files pics na makorokoro zake zinabaki huko huko haziji kwenye gallery kama ilivyo kwa whatsApp - hapa inawafavor wale wazee wa pilauz