Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,785
- 209,398
lakini aliyekutumia akifuta chatting we huwezi kuzipata tenaAta whasap unaeza ukaset, pics au videos zisiende kwny gallery
lakini aliyekutumia akifuta chatting we huwezi kuzipata tenaAta whasap unaeza ukaset, pics au videos zisiende kwny gallery
Any.do ni mfumo utakaowezesha suala la BOTS kusaidia WhatsApp Account yako. Any.do ni mwamba wa miamba katika mamba 😄Tricks za kulink na bot mkuu
Hapana! Mkuu sio kwamba haujui kitu bali utofauti ni katika ufahamu na mapokeo na marejeo ya kujifunza.Ungeendelea midadavua aisee maana naona kama umechoka tu.. Endelea mkuu utufumbue macho wenzio hatujui kitu...
Ukiambiwa uchague Insta na telegram utachagua nini?Kwangu me nishaipokea na tena ndio naiona ni the best kuliko whatsapp
Ungeelezea kila kimoja unafanyaje, hili andiko lingekua na maana sana.Well!, wengi wameeleza kuhusu Telegram
Kumbuka WhatsApp wanazo features zisizotambulika kwa wengi mfano;-
- Kuzuia kutokuungwa kwenye Groups pasi ya idhini yako. Au kuchagua wanaoweza kukuongeza katika group/s.
- Kufungua WhatsApp kwa kutumia Finger Print au kabla ya kutizama Chats za mtu.
- Kuzuia/Kutoruhusu (Eye Sign View na Blue Ticks) katika statuses au messages utakazotumiwa.
- Kuunganisha Calls mbili (Meeting Mode) na kusubiri Call ukiwa katika Call (Call Waiting)
- Files (Videos, Photos, Documents) Kuzuia zisiweze kuingia katika gallery yako.
- Kulink na Bots wanaoweza kusaidia kuendeleza WhatsApp uwapo na ubize au kufanya reminder ya masuala muhimu.
Na nyingine nyingi.
Mimi sio mpenzi wa insta kabisaUkiambiwa uchague Insta na telegram utachagua nini?
Duu! demu gani hapendi insta!!Mimi sio mpenzi wa insta kabisa
Kwa kufanyaje?Ata whasap unaeza ukaset, pics au videos zisiende kwny gallery
Sio kweli unaweza kulimit data kwenye Telegram labda kama hujui tu.Ishu ni kwenye data usege !Telegram inakula Sana MB ,WhatsApp unaweza kulimit data.
Mimi zangu nimeseti zinakuja mpaka gallery, nafikiri hapo ni setting na Aina tu ya simuPia telegram naweza kukutumia picha ya nono yangu lakini nikaset uione kwa sec 2 then itajifuta yenyewe automatic halafu wewe uko ukijarubu hata kuscreenshot inakugomea.
Pia files pics na makorokoro zake zinabaki huko huko haziji kwenye gallery kama ilivyo kwa whatsApp - hapa inawafavor wale wazee wa pilauz
Kwa kufanyaje?
Ulishawahi kuchat na mtu secret chat Telegram?Mimi zangu nimeseti zinakuja mpaka gallery, nafikiri hapo ni setting na Aina tu ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe kadarasa mkuu hapa nie nachemka upande wa any. DoHapana! Mkuu sio kwamba haujui kitu bali utofauti ni katika ufahamu na mapokeo na marejeo ya kujifunza.
Niulize swali linalokutatiza kuhusu WhatsApp au (Technology, Audiovisuals, Art's, Media Geography, Digital na Eco Science).
N
Nenda bank lipia ef10 watakupa ile deposited slip ambayo utaonyesha huko telegram unapotaka kujiunga
We ukome me sio demu..hizo level za kuwa demu me nilishavuka, me ni mwanamkeDuu! demu gani hapendi insta!!
Sijui kama ulielewa...Telegram kama hujaset kwenye gallery haziji zinabaki kule kule kwenye chatting hii ni nzuri kwa sbb inawafavor aina fulani ya watu kutokutaka baadhi ya vitu kutokoenekana kwenye galleryMimi zangu nimeseti zinakuja mpaka gallery, nafikiri hapo ni setting na Aina tu ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry.We ukome me sio demu..hizo level za kuwa demu me nilishavuka, me ni mwanamke
Hata insta haziji.Sijui kama ulielewa...Telegram kama hujaset kwenye gallery haziji zinabaki kule kule kwenye chatting hii ni nzuri kwa sbb inawafavor aina fulani ya watu kutokutaka baadhi ya vitu kutokoenekana kwenye gallery
I know...hapa tunajadili Telegram na whatsAppHata insta haziji.
Utakuwa sio mmbeya mkuu, safi sana!Mimi sio mpenzi wa insta kabisa