Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,940
- 38,037
Sasa mbona iko vizuri hivyo lakini imepokelewa kwa uchache hivyo?Pia telegram naweza kukutumia picha ya nono yangu lakini nikaset uione kwa sec 2 then itajifuta yenyewe automatic halafu wewe uko ukijarubu hata kuscreenshot inakugomea.
Pia files pics na makorokoro zake zinabaki huko huko haziji kwenye gallery kama ilivyo kwa whatsApp - hapa inawafavor wale wazee wa pilauz
Sent using Jamii Forums mobile app