Naomba kujua tofauti ya Telegram na WhatsApp

Naomba kujua tofauti ya Telegram na WhatsApp

Kikubwa nnachopendea telegram ni channels means ukitaka channel ya muvi,ngumi,vitabu utapakua unachotaka hapo hata huhitaji net kwe simu unaweza connect to kwenye web telegram.wakati kwa whats app ni hadi sim pia iwe na bundle...
Hii ya kudowload bila kuhitaji data ebu nielekeze vzr mkuu
 
Hii ya kudowload bila kuhitaji data ebu nielekeze vzr mkuu
yaani ukienda lets say kwe computer ukalogin kwa telegram web..hutahitaji simu yako iwe na internet kuweza tumia...so hata kama umepoteza sim bado unakua unapata status
 
Back
Top Bottom