waongo , matapeli, sio waoaji, ahahahaaaaaaa ni kama kweli haya mamboooDuh, wana haiba ya kufa mtu lakini waongo, matapeli kwa ujumla siyo waoaji, mimi mwanangu aliolewa usukumani cha moto alikiona, kapigishwa hadi matofali
Lakini wakarimu sana, ukiwa kwao ukiomba maji ya kunywa wanakupa buyu la maziwa
kaka zangu wako vizuri
Mfano watatu tu, ndio
nasema labda tukionana tutazimiana si unajua mapenzi bhana vigezo na
masharti kuzingatiwa
nimekukosa mnoooo sezae hebu mpe pure introduction mtoa mada lol
Dada yng miss neddy we acha tu! Mambo yamekua mengi sn! Yani yanazidi unga! Napata muda si wakutosha sn kuweza ingia kwa jf! Lkn Nashukuru niko pouwa! Mzima Lkn dada yng? Nimechelewa sn kujibu Hii post yako! Niwie radhi kwa Hilo edadaaaa!
Asante!

Habarini,
Natumaini mu wazima, leo hebu tugeukie kanda ya ziwa tupeane tabia za wasukuma. Mdogo wangu anatarajia kuolewa hivi karibuni na msukuma mmoja hivi, sasa naombeni mtusaidie kujua tabia zao. Kama kuna mila na akitakiwa kwenda ukweni usukumani inabidi afanye mambo gani kufanana nao ili wamfurahie?
Ni hayo tu ahsanteni.
non of your business!! hata kuandika hujuiU r not stable as u call yourself
non of your business!! hata kuandika hujui
aisee!Wasukuma wanaongoza kwa michepuko now days.
non of your business!! hata kuandika hujui