Naomba kujua sifa na tabia za wanawake Wakurya

hii ni kweli nimeona kuna jirani yangu ameoa mkurya halafu kipato chake ni cha chini.
Basi huyo mwanamke anafanya atakavyo hamuheshimu wala kumuogopa ni malaya watu wanaburuza sana mtaani ni hela yako tu.
Kwa ujumla kabila zote za mkoa huu, umalaya kwa mwanamke ni kawaida tu.

Labda atoke familia bora sana, unless otherwise ni majanga tu.

Wana nyodo alafu, kama hauna kitu
 
Kuna wale wasipenda kuonekana wazee sijui ni wanawake wa kijaluo au wa Mara kwa wastani?
Yani hata awe amekula kichuri cha kutosha lakini hata uwe mdogo umwamkie Shikamoo hataki!
Utakuta mbibi lakini kavaa kipedo eti
Siyo kweli
 
Wanaowajua vizuri watakubaliana nami!

Tunaishi nao kwenye jamii na tunafanya nao kazi.

Siyo wote lakini baadhi yao wako hivyo mara nyingi.

Utamkuta Mzee kabisa uso umemshuka lakini anavaa vipensi vidogo na suluari kama zote.
siyo mkurya huyo! Fanya utafiti. Mkurya anapenda sifa! Aamkiwe! Nataka aonekaane ndiye mkubwa! Dondoo Ndogo tu
 
Inawezekana kweli nachanganya na wajaluo na wajita.

Halafu wewe ukweli unaujua , si useme tu kuwa wale ni wajaluo na wajita?

Lakini hata wakurya wapo nakwambia ukweli wewe chunguza utakutana nao.

Unajua huku mjini wanao toka mkoa wa Mara wote tunawaita wakurya lakini si sawa.

Kama ambavyo wengi wanavyochukulia kuwa watu wa Tanga ni wasambaa tu.
 
Kuna wale wasipenda kuonekana wazee sijui ni wanawake wa kijaluo au wa Mara kwa wastani?
Yani hata awe amekula kichuri cha kutosha lakini hata uwe mdogo umwamkie Shikamoo hataki!
Utakuta mbibi lakini kavaa kipedo eti
Mkuu umeongea kwa mihemko sana. Na nilichogundua wachangiaji wengi wamecomment kishabiki.

1. Wanawake wa kikurya ni wapole wasio na ubabe. Wangelikuwa wababe nadhanu mkoa wa mara ungekuwa na matukio ya wanaume kupigwa na wake zao kuliko mbeya.

2. Wanawake wa kikurya wanaheshima. Wengu mnachanganya wakurya na wajita. Wajita ndio wanasifika kwa dharau kwa waume zao katika mkoa wa mara, wazaramo hawaoni ndani.

3. Umalaya kwa mkoa wa Mara nadhani wanaume ndio tunaongoza (wanaume tusameheane kwa hili ila wanaume wa kikurya tunapenda kuonjaonja, ndio maana utakuta katoto kana miaka 15 kalishaoa kitambo sana)

4. Hilo la kumbust kidogo nakubaliana na wachangiaji wengine. Mwanamke wa kikurya bila kupigwa (sio wote ila wanaongoza) hajisikii. Ukiwa mpole ujue hiyo ndoa itakuwa na migogoro kila siku na usishangae mpaka baba mkwe akqkushangaa.

Mengine mtaongezea, ila wanawake wa kikurya wanajua kupenda mno. Akikupenda unaweza kuona kero iwapo ulikuwa unatest zari.
 
Fafanua namba 4 unamaana gani rudia kuandika ulichokusudia kuandika kisha nitoe maoni yangu.
 
Sana tuuu hasa maeneo ya vijijini wanafanya kwa kujificha kuogopa serikali,
😂😂😂 Ukitaka kujua serikali ya kule ndio inawaogopa wakurya, nenda kipindi cha tohara (mwaka huu December) utajionea ukeketaji mpaka TARIME mjini. Mara nyingi huishia kwenye matamko tu lakini uhalisia ni kuwa wazee wa baadhi ya koo wana nguvu sana za ushawishu. Na kiongozi wa serikali anayedumu TARIME ni yule anayejua kukaa na wazee wa mila. Ipo mifano ya viongozi waliojifanya kuwakaripia wazee, waliipatapata. Mambosasa alifanikiwa sana kudhibiti uhalifu kanda ya Tarime/Rorya kwakushirikiana vema na wazee, mpaka Mambosasa anaondoka Tarime kwenda Dodoma alikuwa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuwafanya vijana kuachana na uhalifu.
 
Wanawake wa kikurya wengi wanaamini ukimpiga ndio unampenda (kwamba unamrudi akikosea)

Sasa huo huoni ni ukorofi?

Kupenda Shari au maugomvi mara kwa mara hiyo tu pekee huoni ni ukorofi?

Halafu unasema ni wapole?

Upole gani ?

Sema huenda wamekuwa hivyo kutokana na wanaume zao walivyo ,
Sababu ukiwa na Mwanaume mkorofi tena mwenye mkono mwepesi anaepigapiga mwanamke inabidi ugangamale sivyo anaweza kukudhuru!
 
Umeelewa nilichoandika lakini ama unacomment kwa kusoma mstari mmoja? Nimeandika kuwa wanapenda kupigwa na sio kupigana. Hayo ya kudhurika umeandika wewe na sio wanawake wa kikurya. Nenda eneo husika uone kama hutakuta wanawake wana alama za kipigo na bado wako kwa waume zao. Hata ndugu muingilie ugomvi wanandoa wakipatana mtaiona dunia chungu. Sauti inatosha ama niongeze?
 
Penye ukweli tukubaliane tu usitake kuwatetea sababu ni watu wa jamii ya kwenu jomba.

Mimi nimejifunza kuwa fair kwamba yasemwapo madhaifu ya watu wa jamii ya kwetu huwa nakubaliana na watu bila kupinga sababu ndiyo ukweli.

Mfano wakisema ni washirikina sikatai sababu Ndiyo ukweli ulivyo.
 
Nimeelezea kila ninalolifahamu mkuu. Siwatetei hata kidogo, ndio maana nimekubali kuwa wanakeketwa na madhaifu yao mengine. Ubabe ulioelezwa sio kweli. Wanawake wa kikurya ni wapole mno. Wanaume ndio tunasumbua.
 
Mbona kila mtu akitaka kujua sifa za kabila fulani basi UMALAYA lazima uwepo kwenye list ya sifa

kIongOzI Wa BaaDae
 
Nimeelezea kila ninalolifahamu mkuu. Siwatetei hata kidogo, ndio maana nimekubali kuwa wanakeketwa na madhaifu yao mengine. Ubabe ulioelezwa sio kweli. Wanawake wa kikurya ni wapole mno. Wanaume ndio tunasumbua.

Pia mimi sikuongelea tu kwenye uhusiano wa maswala ya mahusiano ya ndoa lakini nilienda zaidi kwenye mahusiano mengine ya kijamii mfano kazini n.k

Sasa huko ndiyo nilisema kama unafanya kazi ya pamoja inabidi kuwa naona makini maana anaweza akakufanyia jambo gumu na wala asijali.

Mimi nimeifanya kazi nao baadhi na hata wenyewe wamekuwa wakikiri kuwa mwanamke wa kutoka mkoa wa Mara usimchukulie powa.

Mwalioko humu watakubaliana na mimi kabisa!
 
Back
Top Bottom