Naomba kujua mshahara wa Rubani.

Naomba kujua mshahara wa Rubani.

Risk allowance ya rubani kwa wiki inazidi hiyo laki 8, bado accommodation meal allowance,

Usafiri wa ndege ni salama sana ila ni hatari kuliko endapo kutatokea tatizo kwenye mfumo wa ndege maana hamna cha kuisaidia isipoteze mwelekeo wake,

ikiyumba tu utahisi kifo icho apo kwenye pua maana si kwa wepesi ule ikiwa angani
 
Mshahara inategemea na kampuni ila huanzia laki nane na kuendelea.
sasa laki nane c bora amshauri mwanae akasome N.I.T au akapige spana ,akiiva anachukua semi mfano local kwenda mwanza 200k-250k/trip ,kwa mwezi unakwenda hd mara5 local mwanza- dar, mshahara mwsho w mwez ni hadii 300k inategemea n kampuni ,bado adjust njiani unaporudi ukiotea ni hadi 600-700k hd8 ,hapo bado hujapiga nyoka vidumu 3-4 kila kimoja kwa hapa dar ni 30k kwa kidumu kmoja cha 20ltr's maeneo mengine hadi 37k bado pesa ya abiria njiani ,kazi nyngine ni kutafuta sifa huku kukiwa hakuna unachokipata kazi wanazozizarau nd zinatoa watu ila hawajui tu sasa jina kubwa eti rubani alaf salary kuanzia 800k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom