Ndege ni salama mara tisini zaidi ya gariBaada ya hii ajali ya jana iliopelekea kupoteza maisha ya wanadamu wenzetu, nimejikuta nikiwaza sana kuhusu kumshauri mwanangu kusomea urubani.
Ni nini hasa kinachowavutia watu kusomea na kufanya urubani? je kazi hiyo ina maslahi makubwa kuliko kazi hizi unazofanya miguu yako ikiwa ardhini mfano udaktari, uhasibu, uanasheria, siasa, biashara n.k? Au ni ile status kwamba unarusha ndege? Au ni kusafiri nchi mbalimbali? Naomba mwenye kujua anijuze.
Marubani wanapokea salary kubwa kuanzia 5million.Inategemea na kampuni ila huwa wengine wanatoa hadi milioni.
Mkuu, kwa hio rubani na dereva wa mwendokasi umewaweka kwenye kapu moja!!!!Mshahara inategemea na kampuni ila huanzia laki nane na kuendelea.
Ooh asante kunijuza.
Na pia Wana posho za kila safari kwahiyo ni salary na posho. Tena Kwa mashirika makubwa wanapokea mishahara zaidi ya 5 million.Ooh asante kunijuza.
Na pia Wana posho za kila safari kwahiyo ni salary na posho. Tena Kwa mashirika makubwa wanapokea mishahara zaidi ya 5 million.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe Mkuu.Tafiti zinaonyesha usafiri wa anga ni salama zaidi kuliko usafiri mwingine wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mashirika ya bongo apo sjajua. Kuna mda kasema mashirika makubwa ni kuanzia dollar 10000 ambayo ni karibia million 23 za kitanzania ni kweli kabisa. Mashirika kama Ethiopia, Kenya na South Africa, Emirates n.k.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani umeambiwa ufanye mbona kujiteteaHiyo kazi ya Urubani sifanyi hata kwa bure au kwa kujitolea.
Kwaheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo usafiri hatari zaidi kuliko wowoteTafiti zinaonyesha usafiri wa anga ni salama zaidi kuliko usafiri mwingine wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi au lori lipo hapa ardhini mkuu. Likipata hitilafu yoyote ni rahisi kupaki pembeni na kutengeneza au kutafuta option nyingine. Pia basi au lori likipata ajali ni nadra dereva pamoja na abiria wote kufariki.Ajali ni ajali mbona hushangai inakuwaje mtu anaamua kuwa dereva wa basi au malori wakati kila ukipita barabara kuu hukosi kukutana na ajali,na pia kwanini uwazie marubani badala ya kuwashangaa abiria ambao wao ndio wengi zaidi wanapanda ndege, wakati kama unavyosema ndege zina ajali sana,cha muhumiu ni kujiandaa tu mkuu kwani hatujui siku wala saa na hujui kitakuja kwa mtindo gani na utakuwa sehemu gani...
dhiki na maisha.kwa urubani SAA zingine upenzi.Nini kinachomfanya mtu apende kuwa mwanajeshi ilihali anatambua wakati wowote vita ikitokea ye ndio mtu wa kwanza kuwajibika!?
Nini kinachomfanya mtu apende kuwa Mlinzi/Bodyguard ilhali anatambua yeye ndio anaweza akawa shabaha eidha ya kwanza ama ya pili!?
Nini kinachomvutia mtu kuwa mvuvi ilhali anatambua kuwa maji hayana sakafu!?
Mfumo wa kusave pesa kwa kushirikisha wengine na kukuza pesa ndan ya wiki mojaBaada ya hii ajali ya jana iliopelekea kupoteza maisha ya wanadamu wenzetu, nimejikuta nikiwaza sana kuhusu kumshauri mwanangu kusomea urubani.
Ni nini hasa kinachowavutia watu kusomea na kufanya urubani? je kazi hiyo ina maslahi makubwa kuliko kazi hizi unazofanya miguu yako ikiwa ardhini mfano udaktari, uhasibu, uanasheria, siasa, biashara n.k? Au ni ile status kwamba unarusha ndege? Au ni kusafiri nchi mbalimbali? Naomba mwenye kujua anijuze.
Hahaaha huu mshahara najua kabisa una maanisha mabasi na malori ya kwenda BurundiInategemea na kampuni ila huwa wengine wanatoa hadi milioni.
Urubani Hauwafai maboyaHiyo kazi ya Urubani sifanyi hata kwa bure au kwa kujitolea.
Kwaheri.
Sent using Jamii Forums mobile app