Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Contradictions mwanzo mwisho

Wewe ni not either of all those mentioned
Contradiction izi ndo na Mimi zinanchanganya ata Mimi binafsi yaani sielewi Mimi ni mtu wa Aina gani

Ata kupitia watu unatafsiri kwa njia tofauti tofauti wengne uniita chizi,wengine wananiita me mpole,wengne wanadai I'm funny ,nk, so sielew who am i
 
Wewe unahitaji amaombezi kupitia mchungaji au shehe. Hilo litakuwa pepo mkuu.
Kote nmepita nmekuwa mkristo mpk nkabatizwa lakini wapi nkawa muislamu Mambo bdo yaleyale saiv ata maswala ya dini sifatilii
 
Pia puuzia humu wengine wanaokuita majina ya ajabu kama kichaa, mwehu, mwendawazimu nk. Wengi wao wanaokuita hivyo wao ndo vichaa. Tena kama humu JF yamejaa machizi. Unaweza shangaa mtu anakutukana bila sababu. Achana nao. Ukiweza pata muda unaweza kwenda kumtafuta mtaalamu wa mambo ya saikolojia mkae nae mzungumze
Miongoni mwa majina yalokuwa Nick name utotoni Ni hayo so hao nawapuuza tu

Inabidi nitafte mtaaalamu wa magonjwa ya akili nahisi siku zinaenda ntakuwa Kichaa make mawazo waga yanajigonga Sana kichwan kwangu
 
Wewe ni mtu mzuri tu huna shida yoyote. Tulia sasa ujipange upya kimaisha. Jitahid pia kulala mapema na kupata usingizi wa utulivu wa muda mrefu. Kunywa maji mengi na urelax...mambo yatakuwa sawa tu kaka
Nimefanya yote bila matokeo mazuri na kila siku zinavozidi kwenda Hali nayo inazidi kuwa mbaya
 
Sasa hapo Mwamba tulia..ya zamani yamepita. Sasa hivi wewe ni dume,na kwa uliyoyapitia umeshakomaa kwelikweli. Hakuna mtu anaweza kukufanya kitu chochote.
Sasa jambo la kufanya hapo kwanza anza kufikiria zaidi maisha ya kesho na sio yaliyopita. Waza kutafuta hela zaidi, kama hujaenda shule angalia namna ya kuingia kwenye biashara za mitumba nk, au kama huna mtaji nenda kajitose kwenye migodi ya dhahabu nk.
Achana na mawazo ya kujiua. Miaka hii mitano iliyopita ilikuwa migumu sana kwasababu ya aina ya kiongozi tuliekuwa nae, alikuwa hovyo, alikuwa hajali kuhusu maendeleo ya watu,yeye alijali maendeleo ya vitu. Ndo maana maisha yalikuwa magumu kwa kila mtu,hasa kwa vijana wanaoanza maisha. Waliona kama maisha yenyewe ndo hivi hakuna kutoboa Bora nife tu. Lakin kwasisi ambao tumeishapitia maisha tofauti,ninakuhakikishia baada ya mwaka mzunguko wa hela utarudi vizuri tu na utaona unaanza kuishi maisha mazuri tu ya kawaida. Kitu unatakiwa ujue kuwa hii hali ngumu iliyopo sasaiv haikusababishwa na wewe " kwa ujinga wako" au "kutokuwa na bahati kwako" Bali sera mbovu za kiongozi wa nchi. Mambo yanaenda kubadilika soon. Kaza mwanangu
Asante kwa ushauri wako Mkuu ntajitahidi Sana kwadri ya uwezo wangu kuifanyia kazi ndo saiv naamin magonjwa ya akili Ni real nachanganyikiwa sana
 
Pole sana mkuu, tafuta muda uende hospital yoyote ya magonjwa ya akili.

Kwa maelezo yako machache ulipokuwa utotoni ulikuwa unaelekea kupata(au ulipata) baadhi ya mgonjwa ya disruptive impulse-control and conduct disorders. Ambayo baadhi yake huwa yanaishia kumfanya mtu awe psychopathy ukubwani.

Nenda hospital utafanikiwa kwa sababu tayari ushajua tatizo lako
Asante Mkuu nitafanya ivo
 
Wewe mwenyewe ndio unatakiwa ung'amue wewe ni nani hasa

Hakuna mwanadamu atakaeweza kukusema wewe ni nani

Answers are within yourself sababu u are the only one who knows yourself
Nimejaribu Sana kutaka kujijua ila naona nashindwa kabisa inafika hatua naonaga kila kitu hakina umuhimu duniani au ndo nishafika hatua ya uchizi wenyewe??
 
Vepe ulishaenda kibosho kufanyiwa matambiko ka hujafanyiwa nenda na ukitoka umwone daktari wa magonjwa ya akilo
 
Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;

- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)

- Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe ukae kimya usiniulze maswali mengi)

- Ninapenda kampani au watu wasio wapole wapole yaani napenda watu waliochangamka(wahuni wahuni)

- Nayachukia mahusiano(ya kimapenzi) naweza kumtongoza msichana ila baada ya kukubali nkikaa nae kidogo nachoka na naachana nao.

- Mara nyingne Ni muongeaji Sana kwa watu nisiowajua ama ninaowajua ila wakati mwingne nakuwa mkimya Sana naweza maliza muda sijaongea na mtu

- Sinaga aibu.

- Napenda Sana kuishi/kukaa pekeangu pekeangu muda mwingne natamani dunia nzima ningebaki mwenyewe.

- Nina huruma Sana.

- Sipendi sehemu zenye starehe starehe (hii sjui kutokana na malezi) mf birthday party izi ama sehemu za kuchanganyika na watu, napenda Mambo ya fujofujo.

- Nikimbembeleza mtu au mpenzi wangu roho inaniuma Sana najiona Kama sjui Nini yaani kiufupi sipendi maswala ya kubembelezana (ata Mimi sipendi kubembelezwa.

- Napenda Sana uadui na pia kuwa kwenye mazingira magumu(waga ninakuwaga na mawazo Sana ) na bila kuwa na mawazo sifanyagi vitu vizuri(malezi nilokulia).

- Sipendi kufatilia mtu na Mimi sipendi kufatiliwa Mambo yangu.

- Story zangu waga haziko romantic napenda story za matukio matukio ya ajabu na ya kiume sinaga story za kuvutia za mapenzi

Hayo ni machache tu, je me ni mtu wa aina gani maana yake nashindwa kuelewa! Msaada tafadhali
Mambo mengi tunaendana isipokuwa mm ni mtu wa aibu sana, sipendi kuongea na watu sanasana tusiojuana, kuzoeana na watu wapya/stranger inachukua muda sana, nakuwa muongeaji sana nikiwa na watu wangu tuliozoeana,

Huwa na siwezi kuwa na mahusiana kwa muda mrefu kutokana na tabia yangu ya kupenda kukaa kimya na kutopokea simu hata wiki, sijawahi kumuomba girlfriend wangu msamaha, mara ya mwisho kuomba msamaha nililazimishwa kumuomba Dada yangu mkubwa msamaha baada ya kumpiga ilikuwa 2004 nikiwa darasa3 yeye akiwa form1, dah nililia sana ile siku
 
Nimejitahidi Sana kusahau yaliyopita ila yanakuja automatic yenyewe yaani saiv matendo ya zamani kwa asilimia kubwa nimeacha ila Sasa saiv ndo naona kabisa nachanganyikiwa yaani Kuna muda nakuwa Kama chizi sjui kwanini Hali hi naipata.
Una demu/mke?
 
Miongoni mwa majina yalokuwa Nick name utotoni Ni hayo so hao nawapuuza tu

Inabidi nitafte mtaaalamu wa magonjwa ya akili nahisi siku zinaenda ntakuwa Kichaa make mawazo waga yanajigonga Sana kichwan kwangu
Sasa hivi unajishughulisha na nini?
 
Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;

- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)

- Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe ukae kimya usiniulze maswali mengi)

- Ninapenda kampani au watu wasio wapole wapole yaani napenda watu waliochangamka(wahuni wahuni)

- Nayachukia mahusiano(ya kimapenzi) naweza kumtongoza msichana ila baada ya kukubali nkikaa nae kidogo nachoka na naachana nao.

- Mara nyingne Ni muongeaji Sana kwa watu nisiowajua ama ninaowajua ila wakati mwingne nakuwa mkimya Sana naweza maliza muda sijaongea na mtu

- Sinaga aibu.

- Napenda Sana kuishi/kukaa pekeangu pekeangu muda mwingne natamani dunia nzima ningebaki mwenyewe.

- Nina huruma Sana.

- Sipendi sehemu zenye starehe starehe (hii sjui kutokana na malezi) mf birthday party izi ama sehemu za kuchanganyika na watu, napenda Mambo ya fujofujo.

- Nikimbembeleza mtu au mpenzi wangu roho inaniuma Sana najiona Kama sjui Nini yaani kiufupi sipendi maswala ya kubembelezana (ata Mimi sipendi kubembelezwa.

- Napenda Sana uadui na pia kuwa kwenye mazingira magumu(waga ninakuwaga na mawazo Sana ) na bila kuwa na mawazo sifanyagi vitu vizuri(malezi nilokulia).

- Sipendi kufatilia mtu na Mimi sipendi kufatiliwa Mambo yangu.

- Story zangu waga haziko romantic napenda story za matukio matukio ya ajabu na ya kiume sinaga story za kuvutia za mapenzi

Hayo ni machache tu, je me ni mtu wa aina gani maana yake nashindwa kuelewa! Msaada tafadhali
We Ni mtu wa Aina hiyo hiyo uliyoieleza..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom