Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Wewe ni Psychic Mkuu.
Nenda kwa wataalamu wa akili wakuweke sawa..
Soon nataka nitafte mtaaalamu wa akili ndo maana nmepost hii thread ili ata nijue wapi pa kuanzia nahisi Nina matatizo ya kisaikolojia
 
Duuuh mbna tunatishana mkuu alafu ntafanyaje na mm siamini hao viumbe
Mkuu una jini na huenda linapiga hata uchumi wako, Amini nikwambiayo Mkuu...

Kama wewe ni mbishi kuamini, naomba nikulazimishe uamini...

Kuna wakati utafika utaona bora kufa kuliko kuishi, na hapo ndipo tutaskia umejinyonga. Tafuta watu wanaotoa majini kama ni Wachungaji ama Waganga fanya hivyo...
An
 
Duuuh mbna tunatishana mkuu alafu ntafanyaje na mm siamini hao viumbe

An
Hizo sio tabia za binadamu wa kawaida, ni hao viumbe wamekuvaa ama amekuvaa.
Na kukurahisishia usizunguke sana tafuta Mtaalam wa kutoa majini mwambie akuchunguze kabla, atakupa majibu haya haya.
Jambo la kushukuru ni kuwa hujafungwa kujitambua...
Kuamini isikupe shida sana, utapotibiwa ukapona imani yako itaanzia hapo!
 
Hizo sio tabia za binadamu wa kawaida, ni hao viumbe wamekuvaa ama amekuvaa.
Na kukurahisishia usizunguke sana tafuta Mtaalam wa kutoa majini mwambie akuchunguze kabla, atakupa majibu haya haya.
Jambo la kushukuru ni kuwa hujafungwa kujitambua...
Kuamini isikupe shida sana, utapotibiwa ukapona imani yako itaanzia hapo!
Naomba msaada wako Kama Kuna mmoja unayemjua uniunganishe nae Mkuu
 
Naomba kwa wataalamu humu mniambie Mimi ni mtu wa Aina gani kwa izi sifa zangu;

- Mimi ni mkorofi (tokea utotoni napenda Sana ugomvi na sehemu zenye ugomvi na shari)

- Mimi ni mkimya (yaani sipendi kuongea na pia sipendi mtu aniongeleshe kwa muda mrefu nachukia sana yaani natak nikiwa na wewe ukae kimya usiniulze maswali mengi)

- Ninapenda kampani au watu wasio wapole wapole yaani napenda watu waliochangamka(wahuni wahuni)

- Nayachukia mahusiano(ya kimapenzi) naweza kumtongoza msichana ila baada ya kukubali nkikaa nae kidogo nachoka na naachana nao.

- Mara nyingne Ni muongeaji Sana kwa watu nisiowajua ama ninaowajua ila wakati mwingne nakuwa mkimya Sana naweza maliza muda sijaongea na mtu

- Sinaga aibu.

- Napenda Sana kuishi/kukaa pekeangu pekeangu muda mwingne natamani dunia nzima ningebaki mwenyewe.

- Nina huruma Sana.

- Sipendi sehemu zenye starehe starehe (hii sjui kutokana na malezi) mf birthday party izi ama sehemu za kuchanganyika na watu, napenda Mambo ya fujofujo.

- Nikimbembeleza mtu au mpenzi wangu roho inaniuma Sana najiona Kama sjui Nini yaani kiufupi sipendi maswala ya kubembelezana (ata Mimi sipendi kubembelezwa.

- Napenda Sana uadui na pia kuwa kwenye mazingira magumu(waga ninakuwaga na mawazo Sana ) na bila kuwa na mawazo sifanyagi vitu vizuri(malezi nilokulia).

- Sipendi kufatilia mtu na Mimi sipendi kufatiliwa Mambo yangu.

- Story zangu waga haziko romantic napenda story za matukio matukio ya ajabu na ya kiume sinaga story za kuvutia za mapenzi

Hayo ni machache tu, je me ni mtu wa aina gani maana yake nashindwa kuelewa! Msaada tafadhali
Ww ni mkorofi halafu unakua na huruma hapo umenichenga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom