ntiluhungwa
Member
- Apr 10, 2015
- 79
- 59
Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya fractination wakati wa kumtongoza mtu, inasemekana ni njia bora zaidi ambayo ukiitumia kwa mtu yeyote unampata ndani ya dakika15. Pia wengine huita hii njia (MIND HACK), inasemekana ukiitumia kwa mwanamke hata kama awali alikuwa anakukataa basi siku hiyohiyo utampata.
Fractination inatumia mbinu za kisaikolojia na humfanya yule mtu anaetongozwa kumpata maumivu/uchungu ya/wa huruma juu ya mtu yule anaemweleza. Fractination hutumia Postive (+), Negative (-) theory, kwa kutumia hii mbinu unaweza kumpata mwanamke yeyote unaemtaka cha msingi yeye akubali tu kukusikiliza, njia pekee ambayo mwanamke anaweza kukwepa Fractination ni yeye kutokubali kukusikiliza.
N.B Fractination haitumiki kwa wanawake tu inatumika hata kufanyia utapeli, kuomba msaada kwa mtu asiekujua na pia hutumiwa na mwanamke akihitaji kumpata mwanaume. Mimi nilisoma tu theory ila sikuilewa vizuri sana japo nina idea nayo na niliitumia kwa dada mmoja niliekuwa nafanya nae kazi, ilifanya kazi vizuri sana. Nahitaji aneijua vizuri anisaidie ili niweze kuimudu vizuri hii njia.