pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Waoo
[emoji3][emoji3] poleJuzi juzi niliienda nilipewa juice ilo lala not fresh juice aiseeh[emoji25]
..roho inakuuumaaa,Wanaume wa daaa. Imejiposti😀😀😉😉
Kwaio mkuu hio smoothie ukiongezea na maji ndo inakua juice au vipi?
Mkuu umesema tatizo kubwa lililopo Bongo, hasa sehemu wahudumu wanapokuwa ni wanawake na sehemu ina wateja wengi halafu imekaa ki-Uzungu uzungu! Yaani ukienda hapo umekaa kil-ofa lofa unaangaliwa kama ombaomba na hakuna anayekujali! Du halafu kesho utasikia analia biashara mbaya nimelogwa. Mimi nina kanuni moja muhimu. Nikienda sehemu ya biashara nikiona wahudumu wana dharau sirudi tena ng'o.Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...
Mack jitahidi sana hili tatizo ulimalize kwa sasa umeshaanza kupata washindani wengi sana , kuanzia sinza mori mpaka chuo cha ustaw wa jamii kila uchao mabanda ya juice yanafunguliwa kama kunakuwa na kasoro yoyote ile ni rahisi wateja kuhama ukizingatia bei yako ya juice ni kubwa zaidi ya hayo maeneo yote...
Mmmh povu la nini sasa..roho inakuuumaaa,
.maamae!
..fulia gagulo!Mmmh povu la nini sasa
Ukiongeza maji mh.. unaweza kusema ni juice ndio lakini nadhani sio njia nzuri ya kutengeneza juice! Unajua smoothie inakuwa na fiber nyingi wakati juice haina. Kwa kifupi smoothie unaweka tunda/matunda/mboga mboga zako (yaliyomenywa japo kuna mengine hawamenywi kabisa) kwenye blender unasaga linatoka rojo wakati juice unakamua maji na zile nyama nyama za tunda au mboga (fiber) unazichuja. Ila ni kweli kuwa ukichuja smoothie utapata juice.Kwaio mkuu hio smoothie ukiongezea na maji ndo inakua juice au vipi?
Na kwa matokeo mazuri zaidi ya kupata smooth ni kutumia blender zake maalum na sio zile wanazotengenezea juiceUkiongeza maji mh.. unaweza kusema ni juice ndio lakini nadhani sio njia nzuri ya kutengeneza juice! Unajua smoothie inakuwa na fiber nyingi wakati juice haina. Kwa kifupi smoothie unaweka tunda/matunda/mboga mboga zako (yaliyomenywa japo kuna mengine hawamenywi kabisa) kwenye blender unasaga linatoka rojo wakati juice unakamua maji na zile nyama nyama za tunda au mboga (fiber) unazichuja. Ila ni kweli kuwa ukichuja smoothie utapata juice.
Mkuu mimi nimewakimbia kbc hao mademu full dharau cjui ndo kuizoea kazi au ni ulimbukeni tu.Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...
Mack jitahidi sana hili tatizo ulimalize kwa sasa umeshaanza kupata washindani wengi sana , kuanzia sinza mori mpaka chuo cha ustaw wa jamii kila uchao mabanda ya juice yanafunguliwa kama kunakuwa na kasoro yoyote ile ni rahisi wateja kuhama ukizingatia bei yako ya juice ni kubwa zaidi ya hayo maeneo yote...
hivi na pale pamekaa kiuzunguuzungu,naona msamiati wa juice tamu umenipita kushoto baada ya kuonja juice za hawa jamaaMkuu umesema tatizo kubwa lililopo Bongo, hasa sehemu wahudumu wanapokuwa ni wanawake na sehemu ina wateja wengi halafu imekaa ki-Uzungu uzungu! Yaani ukienda hapo umekaa kil-ofa lofa unaangaliwa kama ombaomba na hakuna anayekujali! Du halafu kesho utasikia analia biashara mbaya nimelogwa. Mimi nina kanuni moja muhimu. Nikienda sehemu ya biashara nikiona wahudumu wana dharau sirudi tena ng'o.
Mkuu si unagari lako lisilotumia mafuta TZ11Mkuu mimi nimewakimbia kbc hao mademu full dharau cjui ndo kuizoea kazi au ni ulimbukeni tu.
Mi nilienda juzi kati hapo, kwa kweli juice yao sijui smoothie ina ladha mdomomi isipokuwa treatment kama ulivyosema nimeona kama kuna walakini.Mkuu mimi nimewakimbia kbc hao mademu full dharau cjui ndo kuizoea kazi au ni ulimbukeni tu.
Mkuu wazo zuri na nakutakia kila la heri. Ila huduma bora kwa wateja ndiyo iwe motto yako na usijali mteja ana kitambi au matambara. Tanzania unaweza ku-win market ya biashara nyingi ambazo zinaonekana kama zimekuwa nyingi baada ya kuvamiwa na ''kila mtu'' just kwa kuwa tofauti kwenye customer care!Mi nilienda juzi kati hapo, kwa kweli juice yao sijui smoothie ina ladha mdomomi isipokuwa treatment kama ulivyosema nimeona kama kuna walakini.
Nimetaka juice ya pera naambiwa hamna bila justification yeyote ile wala lugha nzuri ya mteja kuwa labda next time njoo tutakuwa tushapata. Wao wanajipigisha stori like nobodys business mbaya zaidi chenchi hawakuwa nayo. Wanadai eti niwadai, mi ninaishi tabata naanzaje kuwadai watu waliopo Afrikasana.
Pia kopo nililopewa la juice sio kama yale ambayo wanaya advertise kwenye instagram. Halina branding yeyote nikajiuliza maswali kadhaa endapo labda yale makopo yenye picha na logo ya mak juice huwa kwa ajili ya wateja flani tu, au wasani ila sie wengine tunapata kopo pori!
But kizuri mazingira ni masafi ya eneo lile ila ni pa kawaida sana tofauti na panavyokuwa hyped kwenye mitandao ya kijamii. Nafanya marketing intelligence mungu akisaidia before the end of this year i'll open my spot.
Yap hio ndio motivation yangu kaka, ni degree ya marketing nataka niifanyie makubwa sanaMkuu wazo zuri na nakutakia kila la heri. Ila huduma bora kwa wateja ndiyo iwe motto yako na usijali mteja ana kitambi au matambara. Tanzania unaweza ku-win market ya biashara nyingi ambazo zinaonekana kama zimekuwa nyingi baada ya kuvamiwa na ''kila mtu'' just kwa kuwa tofauti kwenye customer care!
Siku moja nilienda kunywa juice kabla baada ya kuagiza akatoa msanii sheta ndani ya gari lake aina ya harrier, kwa mshangao yule mhudumu alipay attention kumsikiliza sheta kabla yangu.. I real felt very bad.Mi nilienda juzi kati hapo, kwa kweli juice yao sijui smoothie ina ladha mdomomi isipokuwa treatment kama ulivyosema nimeona kama kuna walakini.
Nimetaka juice ya pera naambiwa hamna bila justification yeyote ile wala lugha nzuri ya mteja kuwa labda next time njoo tutakuwa tushapata. Wao wanajipigisha stori like nobodys business mbaya zaidi chenchi hawakuwa nayo. Wanadai eti niwadai, mi ninaishi tabata naanzaje kuwadai watu waliopo Afrikasana.
Pia kopo nililopewa la juice sio kama yale ambayo wanaya advertise kwenye instagram. Halina branding yeyote nikajiuliza maswali kadhaa endapo labda yale makopo yenye picha na logo ya mak juice huwa kwa ajili ya wateja flani tu, au wasani ila sie wengine tunapata kopo pori!
But kizuri mazingira ni masafi ya eneo lile ila ni pa kawaida sana tofauti na panavyokuwa hyped kwenye mitandao ya kijamii. Nafanya marketing intelligence mungu akisaidia before the end of this year i'll open my spot.
Huo upumbavu sana aliofanya huyo mhudumu. Mbaya zaidi yule bwana mak juice mwenyewe huenda alikuwepo around.Siku moja nilienda kunywa juice kabla baada ya kuagiza akatoa msanii sheta ndani ya gari lake aina ya harrier, kwa mshangao yule mhudumu alipay attention kumsikiliza sheta kabla yangu.. I real felt very bad.
Nimehama kijiwe muda mrefu sana
Duuuh kweli wabantu wana matatizo makubwa sana kwenye bongo zao! Ndio maana kwenye hoteli nyingi za kitalii ni nadra kumkuta wahudumu wabantu labda awe sio mtanzania.Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...