Naomba kujua bei za Mak Juice Sinza

Naomba kujua bei za Mak Juice Sinza

Mkuu umesema tatizo kubwa lililopo Bongo, hasa sehemu wahudumu wanapokuwa ni wanawake na sehemu ina wateja wengi halafu imekaa ki-Uzungu uzungu! Yaani ukienda hapo umekaa kil-ofa lofa unaangaliwa kama ombaomba na hakuna anayekujali! Du halafu kesho utasikia analia biashara mbaya nimelogwa. Mimi nina kanuni moja muhimu. Nikienda sehemu ya biashara nikiona wahudumu wana dharau sirudi tena ng'o.
Mimi siku nikimiliki restaurant yoyote ya maana ambayo itakuwa inapokea hadi international customers siwezi kuweka mbongo kwenye sehemu ya customer care watanifukuzia wateja tu.
 
Mkuu umesema tatizo kubwa lililopo Bongo, hasa sehemu wahudumu wanapokuwa ni wanawake na sehemu ina wateja wengi halafu imekaa ki-Uzungu uzungu! Yaani ukienda hapo umekaa kil-ofa lofa unaangaliwa kama ombaomba na hakuna anayekujali! Du halafu kesho utasikia analia biashara mbaya nimelogwa. Mimi nina kanuni moja muhimu. Nikienda sehemu ya biashara nikiona wahudumu wana dharau sirudi tena ng'o.
Alafu huu upumbavuuu upo airports sana
 
Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...

Mack jitahidi sana hili tatizo ulimalize kwa sasa umeshaanza kupata washindani wengi sana , kuanzia sinza mori mpaka chuo cha ustaw wa jamii kila uchao mabanda ya juice yanafunguliwa kama kunakuwa na kasoro yoyote ile ni rahisi wateja kuhama ukizingatia bei yako ya juice ni kubwa zaidi ya hayo maeneo yote...
Dawa ya hao madada akileta MAKUZI ya kujishebendua kwakuwa huna gari au sio staa unampa makavu live kisha kesho yake unakuja na gari na Demu MKARE zaidi yao kisha unaenda kumpa tena makavu kwamba aache dharau.
 
Siku moja nilienda kunywa juice kabla baada ya kuagiza akatoa msanii sheta ndani ya gari lake aina ya harrier, kwa mshangao yule mhudumu alipay attention kumsikiliza sheta kabla yangu.. I real felt very bad.

Nimehama kijiwe muda mrefu sana
Pole dah!
 
Dawa ya hao madada akileta MAKUZI ya kujishebendua kwakuwa huna gari au sio staa unampa makavu live kisha kesho yake unakuja na gari na Demu MKARE zaidi yao kisha unaenda kumpa tena makavu kwamba aache dharau.

Sasa utatoa wapi hilo gari na demu mkare.
Ama utakodi. And to be realistic, kweli ukodi gari na demu kisa tu uje uwaoneshe wahudumu kuwa una hela kumbe huna!!
 
Mi nilienda juzi kati hapo, kwa kweli juice yao sijui smoothie ina ladha mdomomi isipokuwa treatment kama ulivyosema nimeona kama kuna walakini.

Nimetaka juice ya pera naambiwa hamna bila justification yeyote ile wala lugha nzuri ya mteja kuwa labda next time njoo tutakuwa tushapata. Wao wanajipigisha stori like nobodys business mbaya zaidi chenchi hawakuwa nayo. Wanadai eti niwadai, mi ninaishi tabata naanzaje kuwadai watu waliopo Afrikasana.

Pia kopo nililopewa la juice sio kama yale ambayo wanaya advertise kwenye instagram. Halina branding yeyote nikajiuliza maswali kadhaa endapo labda yale makopo yenye picha na logo ya mak juice huwa kwa ajili ya wateja flani tu, au wasani ila sie wengine tunapata kopo pori!

But kizuri mazingira ni masafi ya eneo lile ila ni pa kawaida sana tofauti na panavyokuwa hyped kwenye mitandao ya kijamii. Nafanya marketing intelligence mungu akisaidia before the end of this year i'll open my spot.
I will be ua loyal customer
 
Sasa utatoa wapi hilo gari na demu mkare.
Ama utakodi. And to be realistic, kweli ukodi gari na demu kisa tu uje uwaoneshe wahudumu kuwa una hela kumbe huna!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hooooo jamaa kasema ataenda Na ndinga mixer mtoto mkare kumkomoa muhudumu wa juice ya 2500
 
Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...

Mack jitahidi sana hili tatizo ulimalize kwa sasa umeshaanza kupata washindani wengi sana , kuanzia sinza mori mpaka chuo cha ustaw wa jamii kila uchao mabanda ya juice yanafunguliwa kama kunakuwa na kasoro yoyote ile ni rahisi wateja kuhama ukizingatia bei yako ya juice ni kubwa zaidi ya hayo maeneo yote...
Wana dharau sana wale ma-bitch, okay wengi hawajapima
 
Mi nilienda juzi kati hapo, kwa kweli juice yao sijui smoothie ina ladha mdomomi isipokuwa treatment kama ulivyosema nimeona kama kuna walakini.

Nimetaka juice ya pera naambiwa hamna bila justification yeyote ile wala lugha nzuri ya mteja kuwa labda next time njoo tutakuwa tushapata. Wao wanajipigisha stori like nobodys business mbaya zaidi chenchi hawakuwa nayo. Wanadai eti niwadai, mi ninaishi tabata naanzaje kuwadai watu waliopo Afrikasana.

Pia kopo nililopewa la juice sio kama yale ambayo wanaya advertise kwenye instagram. Halina branding yeyote nikajiuliza maswali kadhaa endapo labda yale makopo yenye picha na logo ya mak juice huwa kwa ajili ya wateja flani tu, au wasani ila sie wengine tunapata kopo pori!

But kizuri mazingira ni masafi ya eneo lile ila ni pa kawaida sana tofauti na panavyokuwa hyped kwenye mitandao ya kijamii. Nafanya marketing intelligence mungu akisaidia before the end of this year i'll open my spot.

Bila shaka mipango itakuwa imetimia, naomba coordinates niunge juhudi.
 
sasa wamebadilika wana huduma bora, japo wanashobokea wasanii na watu wazima kama sisi tukienda they dont care of us.

Sawa sawa mkuu, nilikuwa nahitaji hilo chimbo la Extrovert, kama mipango yake ilikwenda sawa kama alivyoahidi kufungua kijiwe chake. Mie na watu wenye nyodo hatupatani hata chembe..Thamini pesa yangu niithamini biashara yako.
 
Hebu tudadavulie kamanda

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Hii ndo smoothie, bila shaka juice waifahamu.
 
Back
Top Bottom