Naomba kujua bei za Mak Juice Sinza

Naomba kujua bei za Mak Juice Sinza

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,534
Reaction score
61,964
Naombeni mnijuze huwa wanauza sh ngap? Maana huwa naona picha zao tu mtandaoni.
b8477bf909b134d3de1b6f6a240ffaa3.jpg
 
umeandika nini?
Nina maana hiii: Maji ya matunda au mboga mboga yakikamuliwa yanaitwa juice. Halafu kuna ''rojo'' la matunda au mboga mboga ambalo linaitwa ''smoothie'' kwa kimombo ambalo ndio limeshika chat sana siku hizi kwa watu kunywa. Mtu anasaga matunda au mboga mboga kwa mashine na ile rojo inayopatikana ndio inaitwa smoothie. Sasa mleta mada ameweka picha akisema ni juice lakini nimeangalia ikawa kama ni hiyo smoothie, ndio nikauliza ''hii sio smoothie kweli''?
 
Mkuu hujakoseaa lakini huku wenzio twaziitaa juice .......while ni smoothie........

Jaman kuna hotel niliagiza milk shake nilitamani kurudishaaa......
 
Juzi juzi niliienda nilipewa juice ilo lala not fresh juice aiseeh[emoji25]
 
Nilikuwa mdau mkubwa pale macjuice ila wale wadada wahudumu wa ofisi ya mackJuice africasana ukiwa sio superstar wanakuona kama kituko, ukienda bila gari ni dharau tupu... pale wateja wanaothaminiwa na kuwa trated vizuri ni either wasanii au wanaopaki magari...

Mack jitahidi sana hili tatizo ulimalize kwa sasa umeshaanza kupata washindani wengi sana , kuanzia sinza mori mpaka chuo cha ustaw wa jamii kila uchao mabanda ya juice yanafunguliwa kama kunakuwa na kasoro yoyote ile ni rahisi wateja kuhama ukizingatia bei yako ya juice ni kubwa zaidi ya hayo maeneo yote...
 
Back
Top Bottom