Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
Lipia Tangazo kabisa
Mkuu umesema tatizo kubwa lililopo Bongo, hasa sehemu wahudumu wanapokuwa ni wanawake na sehemu ina wateja wengi halafu imekaa ki-Uzungu uzungu! Yaani ukienda hapo umekaa kil-ofa lofa unaangaliwa kama ombaomba na hakuna anayekujali! Du halafu kesho utasikia analia biashara mbaya nimelogwa. Mimi nina kanuni moja muhimu. Nikienda sehemu ya biashara nikiona wahudumu wana dharau sirudi tena ng'o.