Naomba kujua jinsi ya kusafirisha pikipiki kutoka Dar kwenda Dodoma

Kaluluma

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
454
584
Habari za leo wakuu, kijana wenu naomba kujua naweza kutumia usafiri gani kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na bei zake.

Kama kuna kampuni utairecommend pia nitashukuru sana. Pia, naomba kujua kama kuna changamoto zozote huko barabarani, pamoja na option ipi ni nzuri kwa ajili ya kusafirisha.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Habari za leo wakuu, kijana wenu naomba kujua naweza kutumia usafiri gani kusafirisha pikipiki kutoka Daresalaam kwenda Dodoma pamoja na bei zake,
Kama kuna kampuni utairecommend pia nitashukuru sana.
Pia naomba kujua kama kuna changamoto zozote huko barabarani, pamoja na option ipi ni nzuri kwa ajili ya kusafirisha.
Natanguliza shukrani wakuu.
Peleka kwa treni
 
Wasiliana na BajabirLogistic wanasafirisha mizigo yeyote kwa usalama wa hali ya Juu mnoooo kutoka Dar kwenda mKoa wowote Ule Tanzania. Wapigie simu kwa namba 0719021683
 
Habari za leo wakuu, kijana wenu naomba kujua naweza kutumia usafiri gani kusafirisha pikipiki kutoka Daresalaam kwenda Dodoma pamoja na bei zake,
Kama kuna kampuni utairecommend pia nitashukuru sana.
Pia naomba kujua kama kuna changamoto zozote huko barabarani, pamoja na option ipi ni nzuri kwa ajili ya kusafirisha.
Natanguliza shukrani wakuu.
Fanya services yako vizuri weka mafuta endesha tu Dar-Dodoma sio mbali, mi nimeendesha Pikipiki (TVS 150) Morogoro-Dodoma-Iringa-Mbeya-Sumbawanga-Mpanda -Kigoma.
 
Back
Top Bottom