Kwaivo we ulikuwa na gari aina gani na fatma yake ilikuwa aiana gan, mlipaki pembeni au apo apo katikati ya barabara, ilo povu lilikuwa na sabuni gani, ariel, ckleesoft au omo au tufanye tossFatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
Aisee.. Ningependa faham pia!?Na mimi nimuulizie yuko wapi Glory Robson mtoto alikuwa na saut nzuri sana.
hakuna kapicha kake? ?? Nishamsahau hata.....
Reception bila shaka ee!!?Yupo TBC
Fatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
Jamani kuna bibi namtafuta anauta debora mwenda mtangazaji wa zamani sana radio tz yani huyu siwez msahau mama na mwAna enz hzo no hadithi tu yani si mchezoWenye magar wakorofi kuliko watembea kwamguu
hakuna kapicha kake? ?? Nishamsahau hata.....
Kwasababu wote wapo Mwanza itakua sabuni walioitumia ni KomeshaKwaivo we ulikuwa na gari aina gani na fatma yake ilikuwa aiana gan, mlipaki pembeni au apo apo katikati ya barabara, ilo povu lilikuwa na sabuni gani, ariel, ckleesoft au omo au tufanye toss
Huu uzi Umebamba kama hizo hips kwenye avatar yakoHuu Uzi bwana
Kwasababu wote wapo Mwanza itakua sabuni walioitumia ni Komesha
SanaAlijikoboa sana aisee...
Alifariki mkuuMie naomba kujuwa alipo Ezekiel Malongo