Naomba kujua alipo Sauda Mwilima

Fatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
Kwaivo we ulikuwa na gari aina gani na fatma yake ilikuwa aiana gan, mlipaki pembeni au apo apo katikati ya barabara, ilo povu lilikuwa na sabuni gani, ariel, ckleesoft au omo au tufanye toss
 
Wenye magar wakorofi kuliko watembea kwamguu
Fatma shemweta niligombana nae mwanza maeneo ya Tanesco, aliomba kuingia barabarani kwa gari iliyokua mbele yangua. Mimi bila kujua Nika overtake like gari la mbele yang, ikawa chupuchupu nimgonge. Tukatoleana povu, maisha yakaendelea.
 
Kwaivo we ulikuwa na gari aina gani na fatma yake ilikuwa aiana gan, mlipaki pembeni au apo apo katikati ya barabara, ilo povu lilikuwa na sabuni gani, ariel, ckleesoft au omo au tufanye toss
Kwasababu wote wapo Mwanza itakua sabuni walioitumia ni Komesha
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom