Kila nikakayemwita aitikie LABEKA kwa wanawake na wanaume waitikie NAAM
- cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia wapi, maana naona kuna watu humu washakunaku lakini bado tu kusutwa hadi leo.
- snowhite, wewe nawe michango yako humu imekuwa hafifu sana, Je umehongwa nini au umetishiwa kutekwa nyara na kungolewa kucha?
- gfsonwin, shosti mbona nawe siku hizi speed imepungua, isisje ikawa umekuwa mama kijacho maana kipupwe hiki tutashuhudia uzao ukiongezeka, hivi atakuwa ni mtoto wa ngapi vile?
- @FP, dada yangu wa parpar pa Mfaranyaki bombi ii nyumbi ii, uko pande gani, mbona husomeki?
- charminglady, wewe hujatulia siku hizi, naona ushaanza kuzeeka sasa,haiwezekani watu wanasema maneno mbofu mbofu nawe unawachekea humu, hebu endelea kuwapa ile dozi zako za vijineno vya mipasho .
- Asnam, u wapi bi dada, nimekumiso ile mbaya
- Kipipi, binti maringo, unaringa ka nini, maana mapozi mpaka JF, full kujiringia
- Smile, ndege mnana upo? Nakuona tu unavyowazodoa wanaume humu, naomba uongoze ngoma ya msuto ya mkodobwe maan cacico kashindwa kazi.
- Preta, Mambo sister, vipi utakuja lili ZNZ
- marejesho, We siku hizi umeadimika sana kama Nyamayao
- ladyfurahia nimepata habari kupitia kwa Bishanga eti uligonganisha mabwana humu jF hivi karibuni . Eti ni kweli au anakusingizia tumsute?
- Asprin, halafu wewe mzee wewe, naona kazi ya ukaguzi inakushinda siku hizi, kuna wageni kbao humu lakini mpaka leo hawajakaguliwa
- Babu DC Dark City uko wapi we mzee, retired Soldier wa KAR
- Arushaone, habari yako msee wa R Chuga, Poleni kwa kufiwa na mabilionea
- watu8, upo bro, nimepata habari zako kupitia PM kuwa siku hizi hukamatiki
- Bishanga, msuto unakusubiri, ngoja niitishe jaramba
- Boflo, siku hizi umepouwa sana siona zile picha zako za kufikirisha..
NAAM!
Kweli aisee Zinduna mabilionea wameanguka sana kipindi hiki.Yaani mimi tu nimebaki, mimi tu ndiye bilionea nilobaki LOL.
Zinduna upo MKODOBWE unahusika kuna wageni washakunaku humu.
Zinduna Siku hizi unakuja kwa kuibia ibia kama vile unadaiwa huku jukwaani....
Zinduna una mambo ww
ulipotea wapi? Nimekutamani kama doriani
Karibu sana shostito kuna msuto umamuhusu mwafulani, naomba ushike ngoma kubw aya Kilugwai, mie nitapiga Mtoji-
nipo dear......nitakuja niandalie shokishoki........na ubuyu.....
Bi dada, kwani Mimba mpaka uisotee kwani mlikuwa mkichanganya zege, siku hizi ni kitu mara moja inakuwa ndani ya Box, labda kama mayai yamekwisha NEHILabekha Dada mkubwa, kwanza nilikuwa likizo nikisotea :mimba: kwa bahati mbaya nimetoka kapa, saiv nipo gado na nimerudi kwa nguvu na kasi mpya...... HARAMBEEEEEE!!!!!!!!""""
NAAM!
Kweli aisee Zinduna mabilionea wameanguka sana kipindi hiki.Yaani mimi tu nimebaki, mimi tu ndiye bilionea nilobaki LOL.
Kila nikakayemwita aitikie ‘LABEKA' kwa wanawake na wanaume waitikie ‘NAAM'
- cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia wapi, maana naona kuna watu humu washakunaku lakini bado tu kusutwa hadi leo.
- snowhite, wewe nawe michango yako humu imekuwa hafifu sana, Je umehongwa nini au umetishiwa kutekwa nyara na kung'olewa kucha?
- gfsonwin, shosti mbona nawe siku hizi speed imepungua, isisje ikawa umekuwa mama kijacho maana kipupwe hiki tutashuhudia uzao ukiongezeka, hivi atakuwa ni mtoto wa ngapi vile?
- @FP, dada yangu wa parpar pa Mfaranyaki bombi ii nyumbi ii, uko pande gani, mbona husomeki?
- charminglady, wewe hujatulia siku hizi, naona ushaanza kuzeeka sasa,haiwezekani watu wanasema maneno mbofu mbofu nawe unawachekea humu, hebu endelea kuwapa ile dozi zako za vijineno vya mipasho…..
- Asnam, u wapi bi dada, nimekumiso ile mbaya
- Kipipi, binti maringo, unaringa ka nini, maana mapozi mpaka JF, full kujiringia
- Smile, ndege mnana upo? Nakuona tu unavyowazodoa wanaume humu, naomba uongoze ngoma ya msuto ya mkodobwe maan cacico kashindwa kazi.
- Preta, Mambo sister, vipi utakuja lili ZNZ
- marejesho, We siku hizi umeadimika sana kama Nyamayao
- ladyfurahia nimepata habari kupitia kwa Bishanga eti uligonganisha mabwana humu jF hivi karibuni…. Eti ni kweli au anakusingizia tumsute?
- Asprin, halafu wewe mzee wewe, naona kazi ya ukaguzi inakushinda siku hizi, kuna wageni kbao humu lakini mpaka leo hawajakaguliwa
- Babu DC Dark City uko wapi we mzee, retired Soldier wa KAR…