Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,340
Ya chadema yamewashinda sasa mnaanza kufuatilia maisha ya watu .Embu turushieni CV ya Lema hapaBila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.
Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.
Naomba kuwasilisha.
Huyu ndo aliwahi kuwa pale TPDC?mume wa ndoa wa Spika Ackson Tulia. Shule ipo kichwani
Itasaidia kumtendea haki,kwa maana ya kumshauri,kumkosoa ama kupima utendaji wake kulingana na wasifu wake🤔Itakusaidia nini?
Hivi ukishajua itakusaidia nini ?Huyu ndo aliwahi kuwa pale TPDC?
ukishafanya hivyo ndio familia yako itakuwa imeshiba ?Itasaidia kumtendea haki,kwa maana ya kumshauri,kumkosoa ama kupima utendaji wake kulingana na wasifu wake🤔
Naam alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa TPDCHuyu ndo aliwahi kuwa pale TPDC?
Weye haikusaidii.Yeye na wengine itawasaidia.Mbona umechukia?Kwani nini mbaya na weye?Hivi ukishajua itakusaidia nini ?
Hiyo ndio maana ya uzalendo kwa taifa lako na watu wake🤔Ba
ukishafanya hivyo ndio familia yako itakuwa imeshiba ?
Jamaa kachukia sana.Au huwa anatoza watu fedha ili awape CVs za viongozi?Hiyo ndio maana ya uzalendo kwa taifa lako na watu wake🤔
Kwanza,anakuwa kajua.Pili,anakuwa kajua hutomdanganya tena.Tatu,atakuwa amejua hutomdanganya tena kumjua.Ukishajua?
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.
Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.
Naomba kuwasilisha.
Ni kijana mmoja Handsome,Msomi toka wilaya ya rungwe,kabobea kwenye uhasibu na mambo ya fedha ni CPA T,MBA na PhdBila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.
Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi yangu.
Naomba kuwasilisha.
Good!🙏Ni kijana mmoja Handsome,Msomi toka wilaya ya rungwe,kabobea kwenye uhasibu na mambo ya fedha ni CPA T,MBA na Phd
Ni mume wa Dr. Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Karibu kalumbu wa kajunjumele
Nikijua nitaongeza maarifaItakusaidia nini?